Hongera awamu wa Tano Dodoma inogile

Hongera awamu wa Tano Dodoma inogile

Tuwe wakweli, ujenzi dodoma si wa kasi Kama unavyotaka tuaminisha
 
Sasa hayo wanayomsifia kwayo ni majengo gani..?? Au nyumba za raia waliojinyima mishahara ya na mapato yao katika biashara zao, na kujibana ktk maisha haya magumu..?? Wao ndo wanamsifia

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
watu wengi wamewekeza katika ujenzi dodoma kwa kutambua fursa zikizofunguliwa na serikali baada ya kutangaza uamuzi wa kuhamia dodoma
 
Yan nyie jamaa wapumbavu kweli, watu tunajenga nyumba zetu wenyewe, halafu nyie mnamsifia magufuli. Eti nyumba zinaporomoshwa, hizo nyumba kwani anaziporomosha yeye..?? Sifia nyumba za serikali na yale magorofa ya Ihumwa, nyumba zingine tunajenga sisi wananchi. Acheni hizo nyie
Hizo nyumba kwa nn usiende kujenga kisiju huko.
 
kwaio kuhamia Dom uchumi unakua? au maisha yanalainika?
 
Mkuu hako kamkoa kuna kale kabaridi kasikoisha jumlisha na maji ya chumvi hayo. Ndo kabisa kanaboa mkuu
Mkuu hata dar maji ni ya chumvi na joto mwanzo mwisho lkn watu wamewekeza na maisha yanasonga, kila mji una changamoto zake.
 
Nairobi uganda ni kweli asali tamu ukifika London chakula cha kihaya sabuni ya kuoshea mbalamwezi ndani ya blanket
 
Back
Top Bottom