Kwa upande wangu nimeamua kuwapongea Airtel kwa kuifanyia marekebisho mitambo yao.Kwani nilikuwa sipati kabisa UMTS ilikuwa EDGE tu.Siku za nyuma nikichagua UMTS ilikuwa haikamati mawimbi ila kuanzia jana mambo swafi sana.Nasomeka pande za Kigogo

Baada ya kuichakachua modem ya Tigo sasa natumia Airtel napata HSDPA,kwa muda mfupi niliotumia airtel mambo yamekuwa bambam sijui kwa baadaye kwani ''mgema akisifiwa tembo hulitia maji'',mimi naona kwa sasa Airtel wangepunguza bei za modem zao,pia Airtel hawana mpinzani kwa watumiaji wa Blackberry BIS