Honey kwanini hukuniambia mapema kama unakifafa?

Honey kwanini hukuniambia mapema kama unakifafa?

Yani we jamaa sijui kwanini una majanga nadhani umebakisha tu kukutana na mwanamke mwenye jinsia mbili nadhani siku hiyo na umalaya utaacha
 
Kwanza hiko chuo unachofundisha kimasajiliwa na serikali maana mkufunzi.mwenyewe kilaza
 
pizzahutt nao sikuiz wana chai nzuri sana ya kahawa apa bongo,kuna expresso na cappuccino, yako hii ni cappuccino kabisa.
 
Nilikaa na mwanamke wangu mwaka mzima akaja kufunguka wqzazi wake walikufa kwa ukimwi na mdogo wake wa mwisho kazaliwa nao....acha kabisa now is my X
Amefanya vizuri hata mimi nisingekwambia mkuu, mapenzi ya haraka hivyo afunguke kila kitu?
 
Back
Top Bottom