napenda kutambua uwepo wa Honey Faith
hahaaa news alert....
unatambua uwepo wake hapa Jf au uwepo wake hilo eneo ulilopo
Ndiyo habari yenyewe!!Duh!Haya makubwa?Eti news alert mhhhhh!!!!!
ameelekea wapi!?Hayupo...
kudandia!!Ni nini unachokitaka aise? Acha kudandia dandia watu kijana.
nitatoa mwongozoBaada ya utambuzi?
cjui kutukana! nisamehe bure maana hatujuani wala hatufahamiani!!Kamtambulie chitchat, usituletee ujinga hapa
hapa MMUUwepo wake wapi?
ndo baba yake au mlezi wake!?
hahaaa news alert....
unatambua uwepo wake hapa Jf au uwepo wake hilo eneo ulilopo