VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Siongeli kumdanganya mpenzi wako kwamba amependeza wakati anachukiza
. Hapana!!!!! Lakini Je? Kuna ubaya gani kumficha mwenza wako kama ukweli unajua utamuumiza, na hawezi kuvumilia
.. Just imagine for any reason umemcheat mwenza wako
Sasa umeona ulilofanya halifai na hutaki tena kurudia kosa
Je? utamwambia mwenza wako?..... Sababu ukweli hauwezi kumsaidia chochote bali utamuumiza tu. After all What You Dont Know Wont Hurt You
. Mimi naona hapa lies is for the good na Ukweli in this situation utabomoa na si kujenga
.