Honesty Is the Best Policy…. Lakini Kwenye Mapenzi Sometimes Uongo Is the Only Answer

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Siongeli kumdanganya mpenzi wako kwamba amependeza wakati anachukiza…. Hapana!!!!! Lakini Je? Kuna ubaya gani kumficha mwenza wako kama ukweli unajua utamuumiza, na hawezi kuvumilia….. Just imagine for any reason umemcheat mwenza wako… Sasa umeona ulilofanya halifai na hutaki tena kurudia kosa… Je? utamwambia mwenza wako?..... Sababu ukweli hauwezi kumsaidia chochote bali utamuumiza tu. After all What You Don’t Know Wont Hurt You……. Mimi naona hapa lies is for the good na Ukweli in this situation utabomoa na si kujenga….
 
mmmmhh bwana wee
kwanini u cheat at the 1st place ..
ka unajua utamuumiza mwenzie.....

but to same extent nakubaliana nawe si lazima useme kila kitu..
mmmhhh itakuwa ka vile unaiba "lakini kuremba tu maneno utasema nachukua bila kuomba"
 
si vizuri kusema uongo lkn kuna wakati unasaidia,but truth will set u free
 
Jamani inawezekana kabisaa mnachosema ni sahihi lakini mnakumbuka they say "the truth always has a way to come out?"
No matter how many times u lie, na sasa its better that she/he hears the truth rather than hearing the lie! Things will get even uglier!
Besides don't they say that 'the truth will set u free'?
 
sometimes sio uwongo bali ni half truth......hapo huwezi nihukumu kwa kusema uwongo....
 
No matter how much you lie but one day the truth will be reviled ambapo kwangu mimi naona ndio itakuwa worse zaidi
 
Maybe, but someone who always clean mimi namwogopa. Yaani hawa wanakuwa ndo waongo wakubwa, it worth to give little of your downside without going into details.

Kumbuka kama siku utakamatwa
 
si vizuri kusema uongo lkn kuna wakati unasaidia,but truth will set u free
Ni kweli the truth will set you free lakini je mwenza wako? Hapa ni kwamba utakuwa unashusha mzigo toka kwako na kumkabidhi huo mzigo mwenzako wa maumivu na mawazo zaidi
 
Not telling the truth doesn't mean u r lying!!!Mi napendaga kutosema ukweli wala uongo....hujaulizwa kitu unaanza mwenyewe kusema uongo au iwapo umeulizwa sio lazima ujibu swali husika hama topic ili usidanganye wala kusema ukweli, simpo!!!
 
tena watu kama hawa ndio unakuta mara kwa mara wanasamehewa na bado wanaendelea kuumiza mioyo ya watu

This is the problem mkuu.... kuna watu ukiwasamehe wanatumia wema wako kama ubwege..... they mistake ustaarabu na ubwege.... ukiwapa chance tu.... wataanza kuleta watu hadi ndani ya nyumba
 
Aisee mimi mtazamo wangu ni kwamba, hakuna kufuata mambo ya kizungu, eti-- hata uki cheat mweleze mwenzako ukweli, kidini ni vizuri kuwa mkweli, better come clean hii itajenga mahusiano mazuri, mwenzako akifahamu ukweli atakusamehe blah blah blah. Ukweli ni kuwa hata mbele ya mtutu au panga, usithubutu kusema ukweli na kukubali kuwa ume cheat, mwanamme kwa kiafrika bwana hana msalie mtume, yaani hapo ndio utakuwa mwenyewe umejipa talaka! Na kama ni buzi la kuchuna ndio hivyo utakuwa umelifungua kamba LOL
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom