Honestly, kungekuwa na "room" ya "legal challenge" ya matokeo ya kura za Urais, Magufuli (JMT) Hussein Mwinyi (Z) wasingekuwa Marais sasa...!!

Sawa Wapinzani wangeshinda ! Ila Yule Mbelgiji tena Bingwa wa Sheria si aliaminisha kwamba akiibiwa kura atawaingiza watu barabarani ,mara hapatakalika ikawaje tena ! Maana alipokelewa na maelfu wakati wa kuja ! Ila kaondoka hakuna hata aliekua na time nae! Uchaguzi umeshakwisha kesho Chuma kinahutubia Taifa!.
Mkuu hii nchi si ya Lissu pekee yake ni ya watanzania,and when I say watanzania police,jeshi any anyone else wamekuwa included,so watanzania kuingia au kutoingia barabarani ilikuwa ni kwa faida au hasara yao wenyewe including you dude
 
Kuna legal room ya kupinga matokea ya Ubunge. Umeona kesi hata moja imefunguliwa mpaka sasa?
Kama uchaguzi ulikuwa haramu unaenda kufungua kesi ya nini? Kesi inafunguliwa pale kunapokuwa na irregularities ndogo ndogo za uchaguzi
 
Kwa John Pombe Magufuli (CCM) angekuwa "disqualified" kuwa kiongozi tangu wakati wa kampeni zake kwa sababu kampeni yake kwa zaidi 50% ilikuwa inakiuka maadili na kanuni za uchaguzi wa mwaka 2020...!

Ukija kwenye uchaguzi wenyewe, ndiyo usiseme kabisa. Matokeo yote ni uongo na udanganyifu...

Honestly, wapiga kura wote, wananchi wote hamasa yao, ndoto zao, matamanio yao na morali yao iligeuzwa kuwa ujinga na uwendawazimu na utawala wa Magufuli na CCM...!

This is too bad and there are must be some serious consequences for some people to face sooner or later...

Kwa, Hussein Mwinyi angefungwa na rigging & fraudulent za mchakato mzima wa uchaguzi..

Kwa kifupi kabisa hawa wote HAWAKUSHINDA UCHAGUZI HUU. Wamejiweka wenyewe kwa kutumia maguvu tu ya jeshi na polisi. Hakukuwa na uchaguzi...

Laiti kungekuwa na "room" ya kwenda mahakamani kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi huu na mahakama zikawa "free" kufanya kazi yake ya utoaji haki, kesi hii ingeishia masjala tu na kuamuriwa..

Ni kwa sababu ushahidi wa kuthibitisha haya ni Mkubwa na uko wazi mno...!
Kwa kulijuwa hilo ndio zikatungwa sheria kuzuia kupeleka kesi za uchaguzi mahakamani, kuzuia wanatume ya uchaguzi kushitakiwa. Wakachagua waangalizi.
 
Sawa Wapinzani wangeshinda ! Ila Yule Mbelgiji tena Bingwa wa Sheria si aliaminisha kwamba akiibiwa kura atawaingiza watu barabarani ,mara hapatakalika ikawaje tena ! Maana alipokelewa na maelfu wakati wa kuja ! Ila kaondoka hakuna hata aliekua na time nae! Uchaguzi umeshakwisha kesho Chuma kinahutubia Taifa!.

Chuma kimekataliwa na wananchi kikaona isiwe tabu na kuamua kuiba kura
 
Back
Top Bottom