Honestly, kungekuwa na "room" ya "legal challenge" ya matokeo ya kura za Urais, Magufuli (JMT) Hussein Mwinyi (Z) wasingekuwa Marais sasa...!!

Tulia mkuu dawa ipenye
Dawa ya kusadikika labda.
Watanzania tunajulikana, minafki, midomo mirefu lakini cowards!
Tatizo humu ni kujipa moyo kwa threads za ajabu ajabu.
Hatuna ujasiri wa kuingia mtaani, sasa maneno mengi ya nini? Kila mtu haangaike na shida zake.
 
Sawa mkuu
 
U doctor fake? Hivi mtu Dr. anaweza kuwa jambazi kama huyu?
Inasemekana U dokta alipewa na school mate wake (akwilapo) na akampa ukatibu mkuu wizara ya elimu (ni kama karushwa flani tu hivi baada ya kazi nzuri ya kumpatia title ya Dr.)
 
Sawa bimkubwa
Bimkubwa ni wewe na mama yako.
Wanawake wa bongo! Midomo mirefu lakini cowards! Kutwa kubwabwaja humu mkiambiwa ni wakati wa kuingia kitaa kupambania haki unanyuti.
Kajifunze huko Tunduma na Mara, angalau wanajitambua.
Mama zima unaleta ujinga humu.
 
Mtatukana sana, ila awamuhii mtajua kuwa hata pilipili ni mboga. Tulieni muone na vijeshi vyenu vya kishamba. Jeshi lenye kujiheshimu huwajali raia, jeshi la ovyo hulamba miguu ya watawala. Hivi kwa mfano NATO wakasema watie timu kuikomboa hii nchi kwa dhuluma wanazofanya watawala, wa Tz wangapi watawaunga mkono? Naamini zaidi ya 3/4 ya wa Tz watatoa ushirikiano kwa NATO.
CCM tunawagahamu na wao wanajijua kwamba ni Wezi hasa inapofikia kipindi cha uchaguzi lakini katika uchaguzi wa Mwaka huu wameiba bila kutumia akili au tuseme huu ni uporaji wa kutumia nguvu.
 
hata mie nakubaliana nawe jiwe lingeshinda hasa kwa jinsi mazingira ya ushindani hayakuwa sawa, ila nakataa katakata sio kwa % zile za nec...pale walikuwa wanamfurahisha massiah jiwe!

matokeo ya ubunge & udiwani nayo kadhalika ni utapeli mkubwa, upinzani wangenyakua viti vingi tu (sijasema vyote).
Haha viti vingi labda vya kukalia tu
 
Sawa Wapinzani wangeshinda ! Ila Yule Mbelgiji tena Bingwa wa Sheria si aliaminisha kwamba akiibiwa kura atawaingiza watu barabarani ,mara hapatakalika ikawaje tena ! Maana alipokelewa na maelfu wakati wa kuja ! Ila kaondoka hakuna hata aliekua na time nae! Uchaguzi umeshakwisha kesho Chuma kinahutubia Taifa!.
Unajua kunyamaza huwa inaficha mapungufu ya akili za mtu. Ni bora ungekaa kimya kuficha huu ujinga wako tena uliokomaa na usio na dawa tena!
 
Kilichofanyika bongo ni uhaini, ni kama mapinduzi ya kijeshi tu!, Wananchi wamepinduliwa na genge la wahuni wakisaidiwa na apparatus ndani ya vyombo vya dola. We need to reclaim the government of the people by the people and for the people!
Illusions! Tuache kuwa delusional.
Hatuwezi ku-reclaim chochote bila usaidizi wa international community.
Hakuna mahakama wala bunge kwa sasa! Na wananchi ni makondoo!
We are in a quagmire.
If wishes were horses...
Sijui kwanini ila huu uzi umenikera.
 
Bimkubwa ni wewe na mama yako.
Wanawake wa bongo! Midomo mirefu lakini cowards! Kutwa kubwabwaja humu mkiambiwa ni wakati wa kuingia kitaa kupambania haki unanyuti.
Kajifunze huko Tunduma na Mara, angalau wanajitambua.
Mama zima unaleta ujinga humu.
Ukiolewa utajua
 
Maujinga yenu tu! So what?
Hakuna remedial actions sasa haya mathreads ya nini?
Go fvck yourselves! Kenge nyie! Spineless idiots.
No, these are my opinions...

These are not threats though, the truth sometimes appears to be threats to guilty..

You exclaimed, "SO WHAT?"

The answer is;

So that to expose your guiltiness and have a room of confession if you are luck enough to see the mercy and grace of The Almighty God...!!
 
Ni kwanini watangazaji wa BBC huwa hawamuiti magufuli kwa kuanza na title ya elimu yake yaani Dokta Magufuli , wao utasikia wanakwambia Bwana John maguful

Ila wizi wa kura ulifanyika kishamba sana, utafikiri watu hawajaenda shule.
Udaktari wake ni afadhali wa manyaunyau,kwani una tija kuliko huo wa kuchakata korosho.
 
We jamaa mjanja kweli. Umetegeshea moods wamelala umepiga spana. Sasa ngoja waamke uone uzi utakavyopotea.

What do you mean?

Umekwazwa na nini?

Kuna kipi kibaya nilichokiandika hapa to the extent kwamba MODS wasiruhusu uzi huu kujadiliwa?

Mbona unajadiliwa vizuri tu?

This shows that your wish is built in ignorance of thoughts and judgement..!

Pole sana..
 
Kwa John Pombe Magufuli (CCM) angekuwa "disqualified" kuwa kiongozi tangu wakati wa kampeni zake kwa sababu kampeni yake kwa zaidi 50% ilikuwa inakiuka maadili na kanuni za uchaguzi wa mwaka 2020...!

Ukija kwenye uchaguzi wenyewe, ndiyo usiseme kabisa. Matokeo yote ni uongo na udanganyifu...

Honestly, wapiga kura wote, wananchi wote hamasa yao, ndoto zao, matamanio yao na morali yao iligeuzwa kuwa ujinga na uwendawazimu na utawala wa Magufuli na CCM...!

This is too bad and there are must be some serious consequences for some people to face sooner or later...

Kwa, Hussein Mwinyi angefungwa na rigging & fraudulent za mchakato mzima wa uchaguzi..

Kwa kifupi kabisa hawa wote HAWAKUSHINDA UCHAGUZI HUU. Wamejiweka wenyewe kwa kutumia maguvu tu ya jeshi na polisi. Hakukuwa na uchaguzi...

Laiti kungekuwa na "room" ya kwenda mahakamani kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi huu na mahakama zikawa "free" kufanya kazi yake ya utoaji haki, kesi hii ingeishia masjala tu na kuamuriwa..

Ni kwa sababu ushahidi wa kuthibitisha haya ni Mkubwa na uko wazi mno...!
Not true Bro. CCM wameshinda kwa halali. Hayo unayoyasema ni ya kufikirika ndugu.
 
wangekua maraisi baada ya verdictya mahakama which changes nothing, tusisahau kwamba CCM is very powerful in Tanzania. Mpinzani ili ashinde uraisi inabidi aweze kuwashawishi CCM wasimpigie kura mgombea wa CCM, jambo ambalo upinzani wanafeli sana. Atakaeshinda uraisi kupitia upinzani ni yule atakaeweza kuwashawishi CCM bila kuwa mmoja wao.
 
Sawa Wapinzani wangeshinda ! Ila Yule Mbelgiji tena Bingwa wa Sheria si aliaminisha kwamba akiibiwa kura atawaingiza watu barabarani ,mara hapatakalika ikawaje tena ! Maana alipokelewa na maelfu wakati wa kuja ! Ila kaondoka hakuna hata aliekua na time nae! Uchaguzi umeshakwisha kesho Chuma kinahutubia Taifa!.
☝️
Mzungu ni mzungu tu...aliyekutangulia kwa miaka zaidi ya 700 yaani karne 7 basi muheshimu sana.
Maana haya tutayofanya sasa hapa wao yalifanyika kwao karne ya 13.
 
Back
Top Bottom