Honestly, Isnt it Possible?? (Je ni Kweli haiwezekani kabisa??)


DA aksante sana kwa post yako hahah ngoja Asprin aje hapa anipe ruhsa Mjukuu wake Mtiifu hahahah
 
lakini hapa babu vise versa pia ni true, siyo? nina maana hata nyie huko nje mnatumiwa tu kama kijiko cha mama ntilie...............ha ha haaaaaaa (usinichape babu)

Hahahahahahhahahah,

Hiyo ni lazima FP,

Unadhani mikono ikifulia mche wa sabuni na kuumaliza itabaki salama bila kuumia??

Both way ni sawa....Ukitumia lazima na wewe utatumika tu!!

Babu DC!!
 

Hapo hakuna despration labda kidogo saana expectations. Bwana dilema kwenye mapenzi zinasumbua saana tena saana tu; yaani mapenzi ya sasa yanatufanya tupende kwa machale/mguu moja nje mwingine ndani; sasa some of us ambao kupenda nusu nusu hatuwezi, ndio wahanga, na zaidi wale ambao tuonesha wazi kuwa tunapenda.

Hakuna jibu la moja kwa moja, hivyo kama umempata mtu na mkaanza vizuri wakati inaanza kuchanganya akakutenda; hakuna zha zaidi na kujifariji kwa kuona kuwa ni his/her loss; kwani amepoteza the most beautiful thing in this world (love). Tulia kwa muda, bila kujiumiza sana kwa maself analysis; live your life akitokea mwingine, go for it.

hakuna jibu rahisi, ukiweza kuzuia au kuficha hisia zako, be like that lakini kama huwezi then be yourself na ukitendwa ni part and parcel of the love life.
 
lakini hapa babu vise versa pia ni true, siyo? nina maana hata nyie huko nje mnatumiwa tu kama kijiko cha mama ntilie...............ha ha haaaaaaa (usinichape babu)

Mpango wa kando kazi yake matumizi tu hakuna kulea watoto wala kufua shati na suruali za mzee
 
Hahahahahahhahahah,

Hiyo ni lazima FP,

Unadhani mikono ikifulia mche wa sabuni na kuumaliza itabaki salama bila kuumia??

Both way ni sawa....Ukitumia lazima na wewe utatumika tu!!

Babu DC!!
ha haaaaaaaaaaaaaa, shikamoo BABU DC. nimependa kuwa na nyie mnajua mnatumika, lol! sasa kwa nini msijiachie tu?
 
Mpango wa kando kazi yake matumizi tu hakuna kulea watoto wala kufua shati na suruali za mzee
umeona eeeeh! kuna uncle wangu alikuwa na mipango ya kando kibao............ cha ajabu hakuna suruali ilikuwa inafuliwa nje.................... lakini wa siku hizi wanafua wanapotaka kukukomoa usirudi home..................... nasikiwa huwa wanaloweka nguo makusudi, lol
 

Aksante Mama wa Upako. Nisamehe kwa matumizi mabaya ya lugha ninayawithdraw ingawa kusema ukweli wapo wale walioko katika extremes.........
Nimependa ujumbe wa kuwaombea waume zetu.
 


Ukiona mwanamke wa hivyo ujue huyo hajui kula na kipofu ukimlaza nje mume wa mtu unatakaje? Asije?? Heshima ndo mpango mzima hapa kucheat kupo. Labda ukute huyo hajatoa mshiko ndo maana anakomolewa
 
Babu DC nakuelewa sana ila naomba nikuulize, unaposema hakuna mapenzi nje ya Bibi una maanisha nini? Kwamba hakuna kwa sababu umemuoa yeye au kwa sababu unampenda? Kwa sababu kama ni kwa kuwa umemwoa then kumbuka kuwa hata nyie mlianzia katika mahusiano (ambayo kwa maoni ya mwengi hapa ndio ambayo yako prone to kudanganyana)

Najiuliza tu kwa nguvu Babu.
 

Hawa viumbe hasa miaka hii hawaaminiki kabisa mama angu,dunia inaelekea mwisho. Mtu anaweza kukujia na uongo na vishawishi vya kila aina ili tu akupate, akishakupata na wewe ndio unaanza eti kumuamini anakutoka bila hata kutegemea, Kama huwezi kukaa bila mpenzi inabidi utake usitake ujifunze kupenda nusu nusu mamito, maisha yenyewe mafupi haya
 

Sidhani kama hii ndivyo inavyotakiwa kuwa DA au ndo mambo ya Adaptation na mitigations haya?
Pili kutokana na definitions zilizotolewa na kina Babu Asprin juu ya Mapenzi na Upendo naona kama mnazidi kunichanganya!!

Na mwisho ni je ni sahihi kwetu sasa kuvaa ngozi za kondoo kwa wapenzi wetu? Kuwa ninakupenda na uamini ninakupenda kwa nje ilhali rohoni niko vuguvugu?? Kwa sababu kitendo cha kuwa vuguvugu inamaanisha unaishi kwa matumaini kuwa labda siku moja atanitenda so nami nijijengee shield kwa kinga???

Nadhani Kaunga amenielewesha kidogo, live life to the fullest, including kupenda kwa moyo wako wote (Lakini ukiwa tayari kukubali kuwa lolote laweza kutokea) si ndio maana ya kuwa part and parcel ya kupenda? au
 
Last edited by a moderator:

Maty aksante kwa post yako, so tunakubaliana kuna uwezekano wa mtu kuishi bila kupenda (Kimapenzi) na only pale anaposhindwa kuishi hivyo ndipo anapostahili kupenda kimachale (Ambayo kwangu natamani niitafutie jina lingine)
 

You got it right, kwangu mimi hiyo inafanya kazi vizuri zaidi; kwani nimeshashindwa kabisa kupenda nusu nusu bora nijikatalie kupenda kabisa na ni replace hiyo kupenda na vitu vingine tofauti vya kunikeep busy!
 

Sijui kama umenielewa sawa sawa kupenda kupo lakini siwezi nikajisemea eti na yeye ananipenda vile anavyonipenda mie nadhani (nina mazoea mapenzi yaliniisha siku nyinginilishatenda yakanichosha)
 

Hii ilinikuta Chuda hii mbona nilimaliza wiki 2 huko huko nguo hazikauki.
 
Maty aksante kwa post yako, so tunakubaliana kuna uwezekano wa mtu kuishi bila kupenda (Kimapenzi) na only pale anaposhindwa kuishi hivyo ndipo anapostahili kupenda kimachale (Ambayo kwangu natamani niitafutie jina lingine)

Hapo tunakubaliana kabisa

Sijui kama umenielewa sawa sawa kupenda kupo lakini siwezi nikajisemea eti na yeye ananipenda vile anavyonipenda mie nadhani (nina mazoea mapenzi yaliniisha siku nyinginilishatenda yakanichosha)

Na saa nyingine yanachosha kabisa kama asemavyo dena
 
Hapa babu umenena MJI asipoelewa tena baaaaaaaaaaaaaaaaaaasssssssssss

Hapa Maty nimeelewa mpenzi mapenzi yes unawezaishi bila kwayo lakini si upendo ambao ninatumia definition ya Babu Asprin hapa. Ila hapo kwenye dozi hapo jamani mbona mnanichanganya zaidi?? Dozi inawezatolewa pasipo mapenzi? au ndo ya one nite stand tena? No emotions attached?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…