Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
Labda kwa mtutu wa bunduki......otherwise niwe nimeshachoshwa na hiyo relationship yenyewe!!!
aiseee kweli nina bahati
Labda kwa mtutu wa bunduki......otherwise niwe nimeshachoshwa na hiyo relationship yenyewe!!!
Mi kwanza kwa vile sina mpenzi ningekubali.
Ningekua na mpenzi ningekubali vile vile,
ila ningejaribu maujanja ya kumkataa kwa muda,
nikisha pewa hela naendelea nae.
Kama hayo maujanja yangeshindikana ningemwacha natafuta mpenzi mpya.
If possible huyo huyo alie nipa M 5000. (if oppossite sex of course)
Mwenye hela ni mimi na nimehairisha hili pambano bongo naenda kuliadvertise India. Bongo wizi mtupu kumbe.Ala hela siachii wala jamaa simwachii ..
Mwenye hela atajiju ..