Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
get cash and disappear! Bongo there is no relationship issue ni kuzinguana tuu!
read my signature!!!Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
Ngoja nilale ili niote jibu.
Napata taabu maana ninao 3.
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
sasa Chriss,hebu tuchukulie unakataa hiyo ngawila,kisha we na mchuchu wako mnaendelea na maisha ya kudunduliza,mbele ya safari litokee pedeshee laukweli limnyakue huyo mpendwa wako (which is very possible na tumeyaona),utasema nini sasa hapo? nijibu Chriss hivi mapenzi (hasa ya dot.com) yana muamana?Never betray the one you love for money...
Inategemea wewe kwako mapenzi nini, kama mapenzi ni PESA, obvious unatapokea lakini kama ni inner feelings embeded at the bottom of your heart plus true love nafikiri huwezi kupokea.
Pia kuongezea, ukiendekeza pesa utaachana na wapenzi kila siku. Maana kwa mdada anayependa pesa, kila mwanaume anayepanda dau, yeye atamkubali na akina kaka wale wanaopendwa kulelewa, hali itakuwa hivyo hivyo!!!
Si busara kuendekeza sana pesa bana kwenye mahusiano. Endekeza pesa kwa mambo mengine.