Honest replies please!

Unajua maisha sio mapenzi tu. Imagine tupendane halafu kila siku nakosa raha
sababu nahisi sijaweza kukamilisha lengo fulani za maisha yangu. as an individual or as a couple
Nakupenda, unanipenda ila unaona kabisa kua something is missing and I am not happy
halafu ofa kama hiyo ya kunipa hela zitakazo nisaidia kukamilisha lengo zangu/zetu linakuja
kweli utashindwa kunielewa, wewe kama mpenzi wangu? you know me, you know what is best for me
Naamini nikiwa happier with my situation, I will have more time and devotion to care about ours as a couple.

are you sure those money will give u happyness? Kwanini tusitafute zetu. Kumbuka hizo pesa zinaweza zisije na condition hiyo tu. What if ukapewa masharti mengine zaidi. Malengo yatatimiaje hapo?
 
  • Thanks
Reactions: Taz

Sisemi kua pesa zitanipa happiness,
but zitanisaidia sana katika kutimisa lengo zangu zingine
ambazo naamini ndizo zitakazo niletea furaha.
Naona kukubali hizi ni a quick advancement katika lengo langu
coz hizi ni za uhakika, hizo za kujitafutia wenyewe bado ni hypothetical.
Halafu hapa tunaamini kwamba hakuna sharti lingine zaidi ya kumwacha mpenzi wako.
So my honest answer is still a (sorrowful) yes.
 
mmh! Haya kaka.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
taz, kama nipo na mpenzi kipindi hicho na tuna migogoro isiyoisha jibu ni ndio nitakubali. Kama tupo kwenye wakati mzuri na ninampenda mpaka kumoyo basi thamani yake kwangu haiwezi kuwa replaced na kitu chochote.
Dah! skuona hii.
Lucky him
 
  • Thanks
Reactions: Taz
yaani sicheleweshi, nachukua fastafasta...halafu nitakuwa namla mpenzi wangu kisirisiri...namzalisha etc na baadaye tunarudiana tu...kwani nini bwana. ...alaa
 
Dah! skuona hii.
Lucky him
Nilitaka kusema hivo hivo ila nikaona maybe he doesn't even know how lucky he is...
Nikamwambia tu Husninyo Lucky her to be able to love so strongly, with no doubt.
Yani anauhakika na the strength of her love kuliko hata uhakika wa 5,000M kuongeza happiness,
Ain't that something?
 
dah! I wish....nway, ngoja niishie hapo.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Ni jinsi gani inavyoonekana watu hawana mapenzi ya kweli kwa wenza wao. Mungu okoa hichi kizazi.
 
Yethu na Maria..ni iyo ela naipokea fasta babangu..uwiii ntamgawia na uyo nae,najua atapokea tuuu kiishe
 
Sisemi kua pesa zitanipa happiness,
but zitanisaidia sana katika kutimisa lengo zangu zingine
ambazo naamini ndizo zitakazo niletea furaha.
Naona kukubali hizi ni a quick advancement katika lengo langu
coz hizi ni za uhakika, hizo za kujitafutia wenyewe bado ni hypothetical.
Halafu hapa tunaamini kwamba hakuna sharti lingine zaidi ya kumwacha mpenzi wako.
So my honest answer is still a (sorrowful) yes.

mmmh mpenzi wako kalamba garasa!
 
daaah hapa aiseeee!

Haya wale wenzangu wa kule Mungu Onyesha Sasa Hela Ilipo (MOSHI) mpooo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom