JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
CHADEMA haitashinda urais mwaka 2015. Msijipe matumaini ya uongo.
Weka ushahidi - namba ya leseni yake ya uwakili huko Arizona na kesi alizotoa uwakilishi. Halafu pia naweza kwenda hapa kuangalia kama alikuwemo kwenye orodha ya mawakili wenye leseni huko Arizona mwaka '97.
Kumbuka kwa Marekani ni rahisi sana kupata taarifa kama hizo....
Huyo ndo role model wako ni kama wa 20 hv....kila la herilisu is more than a lawyer na ndo role model wang hababaishi katika hoja zake hata mzee wa fast jet(j.k), werema na lukuvi mzee wa kanuni ya 64 wanamjua vizur hata akina yakhee wa zanzibar wanajua
Mkuu badilisha hearding APo na uweke hivi (Mwanasheria Mkuu wa serikali mtarajiwa) ingependeza zaidi
Mkuu umesikiliza madini aliyotema!?au umeamua kutumia kanununi yenu ya kuficha kichwa kwenye mchanga km mbuni
Tumuangalie jembe letu!anatema cheche juu ya mafanikio na mipango mkakati ya chama!KARIBUNI!
Mkuu Nyani Ngabi. Sijaona lolote ambalo umesema ambalo linahusu Lissu kuwa katika kipindi au lolote ambalo amesema. Jaribu kufatilia alichosema na ujibu hoja kama unakubaliana na yeye au la. Kuwa USA siyo hoja wako wengi ambao hawawezi hata kurudi nyumbani kutembelea ndugu jamaa na marafiki.Nitakuuliza umejuaje....
Hoja yako inasaidia nini katika kutatua matatizo ya Watanzania wanaolia kila siku. Hata kama katibu wake amemjengea nyumba demu wake yeye hayuko serikalini au ndo nyie munaoamini matatizo ya Watanzania yanasaabishwa na wapinzani!Jee, ameongelea mafanikio ya katibu mkuu kumjengea nyumba demu wake kwa kujichotea fedha za chama (za walipa kodi wa Tanzania na ujerumani)?
Nitakuuliza umejuaje....
majembe akina Shonza, Habib, Mwampamba, Shibuda etc....ndo majembe ya kweli
Nyani!... Nyani!.... Nyani!..... Nyani!... Nyani!.... Nyani!....CHADEMA haitashinda urais mwaka 2015. Msijipe matumaini ya uongo.
Kuwa USA siyo hoja wako wengi ambao hawawezi hata kurudi nyumbani kutembelea ndugu jamaa na marafiki.
tunajua unakula baata na makalio yanachakaa tuache na vumbi letu kusujudia vya mwanaume mwenzio ni ungee na utumwa vijana mnaolewa hivi hivi mngali watoto kweli dunia imekwisha mpaka upate maisha si utashindwa hata kukaa?Mimi states nakula al bataar kivyangu na sina muda wa kujishughulisha kujua wala kujuana na wabongo.
Wewe unakula vumbi bongo nini?:becky: