Hon. Tundu Lissu on Hamza Kasongo hour

Hon. Tundu Lissu on Hamza Kasongo hour

Anasisitiza umuhimu wa serikali 3 na sera ya majimbo kama suluhisho pekee ya kero zilizopo!
 
anasema, akijibu kuwa kama suala ni pesa, asingegombea ubunge, alisha wahi kuwa wakili ndani na nje ya nchi hasa marekani. pesa nyingi tu ameacha ka kazi yake ya uwakili kuja ufa na tanzania

Hmmm...alikuwa wakili Marekani? Jimbo gani? Lini?

Na ubunge wa Tanzania unalipa bana. Aache kutuzeveza huyo.
 
chama fulani kuanzisha hoja hakuzuia chama kingine kusisitiza hoja hiyo iwapo hoja hiyo ina faida kwa taifa
 
Hmmm...alikuwa wakili Marekani? Jimbo gani? Lini?

Na ubunge wa Tanzania unalipa bana. Aache kutuzeveza huyo.

Unawafahamu watanzania wote kila jambo na kazi wanazozifanya huko Marekani? Yaani Watanzania Bwana!!!!!!!!!???????!!!!!?????
 
Unawafahamu watanzania wote kila jambo na kazi wanazozifanya huko Marekani? Yaani Watanzania Bwana!!!!!!!!!???????!!!!!?????

Siwajui na ndiyo maana nikauliza. Hukuona alama ya kuuliza katika nilichoandika?

Wewe unajua alikuwa ana practice law jimbo gani, lini, na kwenye area gani?
 
Siwajui na ndiyo maana nikauliza. Hukuona alama ya kuuliza katika nilichoandika?

Wewe unajua alikuwa ana practice law jimbo gani, lini, na kwenye area gani?

Kweli Miafrika ndivyo tulivyo, Yaani mime, wewe na miafrika mingine.
 
Tundu ni Zaidi ya mumjuavyo anamiliki akili za vichwa 1000 vya ccm include fastjet. Nampenda sana lisu na anashabihiana na mtikila kihoja ni mabingwa wa kujenga hoja, kuisimamia, kuiwasilisha na kujibu hoja kwa hoja.Na ndieye Mwanasheria Mkuu wa serikali mwaka 2015 au kabla Hapo mark my words the dude he is genius
 
Hiv lin marudio ya kipindi hicho..... pls wakuu mwenye kujua kwan nimekosa chakula cha moyo.
 
Tundu ni Zaidi ya mumjuavyo anamiliki akili za vichwa 1000 vya ccm include fastjet. Nampenda sana lisu na anashabihiana na mtikila kihoja ni mabingwa wa kujenga hoja, kuisimamia, kuiwasilisha na kujibu hoja kwa hoja.Na ndieye Mwanasheria Mkuu wa serikali mwaka 2015 au kabla Hapo mark my words the dude he is genius

CHADEMA haitashinda urais mwaka 2015. Msijipe matumaini ya uongo.
 
chama fulani kuanzisha hoja hakuzuia chama kingine kusisitiza hoja hiyo iwapo hoja hiyo ina faida kwa taifa

Muuliza swali naamini hajuhi hata maana ya NCCR, Hivi anajua kuwa hawa ndio watu wa kwanza kudai katiba mpya nchi hii?
 
Tumuangalie jembe letu!anatema cheche juu ya mafanikio na mipango mkakati ya chama!KARIBUNI!

Mkuu badilisha hearding APo na uweke hivi (Mwanasheria Mkuu wa serikali mtarajiwa) ingependeza zaidi
 
Wakati anafanya kazi jimbo hilo, mie pia nilukuwa Arizona wakati huo na ndo tulipofahamiana. Je utasadiki?

Weka ushahidi - namba ya leseni yake ya uwakili huko Arizona na kesi alizotoa uwakilishi. Halafu pia naweza kwenda hapa kuangalia kama alikuwemo kwenye orodha ya mawakili wenye leseni huko Arizona mwaka '97.

Kumbuka kwa Marekani ni rahisi sana kupata taarifa kama hizo....
 
Back
Top Bottom