Hon. Tundu Lissu on Hamza Kasongo hour

Hon. Tundu Lissu on Hamza Kasongo hour

Chakachua Demokrasia Endeleza Madhambi (CHADEMA) kwako studio tutafika ingawa viongozi wa vyama vyote hawaijui Tanzania bado.
 
Hutuwezi pata changamoto za uongozi kama hatu wakosoi viongozi wetu angawa wao hawataki kukosolewa
 
Jeshi la Mafunzo(magereza),
Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU),
KMKM
ndio maana nikasema hamna kitu hayo ni majeshi? jeshi la nchi ni JWTZ
KMKM , JKU , Maufunzo ni auxilary security organs ambazo zipo chini ya wizara nyengine na sio ulinzi kama hapa magereza haipo wizara ya ulinzi
hayo sio majeshi ya vita ni upotoshaji au ni kutokua..japo tumesoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom