JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
CHADEMA haitashinda urais mwaka 2015. Msijipe matumaini ya uongo.
Nilipo changia Hapo nilitegemea kupata changamoto kutoka kwa watu Kama wewe ila kuweka kumbukumbu sawa nikiangalia kwenye hansad za bunge la kichwa changu nakumbuka Hata marehemu Gadaf alibisha Kama wewe na wenzio.