Hon. Marcus Mosiah Garvey

Black Star Line stock certificate
Negro World masthead and headline
Black Star Line Steamship Corporation flyer
Inspection of the S.S. Yarmouth by UNIA members
Copyright © 1995-2012 The Marcus Garvey and UNIA Papers Project, UCLA
 
Marcus Garvey
Marcus Garvey flanked by Potentate Gabriel M. Johnson of Liberia, Supreme Deputy G. O. Marke of Sierra Leone, and other UNIA leaders reviewing parade at opening of 1922 convention
Marcus Garvey presiding at 1922 convention, Liberty Hall
Front page of Black Man
Copyright © 1995-2012 The Marcus Garvey and UNIA Papers Project, UCLA
 
"Garvey Must Go" campaign broadside
Garvey in custody of U.S. marshals en route to Atlanta federal prison, 1925
Garvey in prison, 1925
Deceased Garvey in coffin, 1940
 
Kwa mara nyingine salute kwako@Mbuzi Mzee.
 
nlijuMr Marcus a pornstar kumbe huyu mheshimiwa bana..
 
acha ushamba ndugu yangu huyu bwana ni muungwana na ana akili nyingi sana hawezi kuitwa muheshimiwa
 
acha ushamba ndugu yangu huyu bwana ni muungwana na ana akili nyingi sana hawezi kuitwa muheshimiwa

Marcus is honorable since he is characterized by integrity performed or accompanied with marks of honor or respect.
 
Katika vyote ulivyonigusa navyo Mbuzi ni Uzee wa hizi picha. Umenikumbusha Mashairi ya Langstone Hughes, Marcus M Garvey, William Silvester William duBois, na wengine wengi those days back...Hongera Mbuzi. Hata Aliyepata kuwa Waziri Mkuu wa Jamaica, Hon Percival Patterson alilitaja hili, Prof Joshua Mghululi wa Jamaica akarejea(RIP Prof) Robert N.Marley naye akamuimbia wimbo huyu jamaa. Andrew Young Pia amesoma mashairi yake mengi katika jukwaa mbalimbali za kimataifa. Jesse Jackson yule mpigania haki za watu weusi na aliyewahi kugombea urais wa Marekani kwa chama cha Democrat 1983 naye hakumwacha nyumba, Martin Luther, King alifuata nyayo zake, King Martin Luther III naye ni hapa majuzi tu alirejea hotuba zake katika moja ya Presentations zake kule Barbados na Bermuda, Bahamas na maeneo mengi ya West Indies....Mbuzi achana na zile picha za kitoto za akina nanihii kule TANGA, wale wadada waliokaa uchi bhana..turudi katika picha kama hizi..Zile mwachie Mkuu wetu Wiyelele aziendeleze.[QUOTE=Mbuzi Mzee;5245266]












[/QUOTE]
 
[/QUOTE]

Asante sana Mkuu wa Wosia wako ulio jaa hekima, sasa naachana na Mambo ya Tanga tunaendelea na Hekima za akina Marcus, 2013.

Nashuku kwa kuwa wazi na kunijenga kifikra na kimaono.
 
Pamoja Mkuu.

Asante sana Mkuu wa Wosia wako ulio jaa hekima, sasa naachana na Mambo ya Tanga tunaendelea na Hekima za akina Marcus, 2013.

Nashuku kwa kuwa wazi na kunijenga kifikra na kimaono.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…