Homeless...

Aisee hao ndo wachafu kupitiliza
Afadhali ya paka ni mnyama ambae hata ndani anafugwa anaishi na binadamu, mbaya zaidi ni kwa wale wanaolazimisha kufuga mbwa ndani, mnyama ambae ni maalum kwa ajili ya kufugwa nje ya nyumba kwa ajili ya ulinzi.
 
Afadhali ya paka ni mnyama ambae hata ndani anafugwa anaishi na binadamu, mbaya zaidi ni kwa wale wanaolazimisha kufuga mbwa ndani, mnyama ambae ni maalum kwa ajili ya kufugwa nje ya nyumba kwa ajili ya ulinzi.
Aisee hao wanyama wote Paka + Mbwa waliumbwa kukaa porini tu ni vile binadamu wanalazimisha tu mkuu.
 
Vipaka vya rangi hiyo na wale wakijivu huwa wana akili sana!lakini upate yule mweusi dadekii kwanza ungemshika hivyo ameshaita nyauu ya asira na kukukwaruza(hii inaonyesha vitu vyeusi sio vizuri hata binadamu weusi sisi ni shithole)
Hahahah, eti shithole
 
Mkuu hizo moving mountain umekunywa zote peke yako[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Hapana mkuu siunajua naokota makopo
 
Hahahah, eti shithole
Kaka ndio maana mfano wowote mbaya huwa wanapigiwa waswahili!nimeishi nchi za watu yaani watu wanajielewa sana!ofcoz hata weusi tupo huku lakini bado tuna tabia flan tumerithi kwa mababu!!sasa imagine tupo nchi za watu lakini uswahili mwingi je huko tulikotoka pakoje??!!kuna mzungu flani ni mshkaji wangu tunaishi kota moja huwa ananiambia watu weusi nyie hamuezi kuwa na roho nyeupe hata siku moja!kuna wazungu BTW wana roho mbaya lakini sio ya kumtakia mabaya rafki yake au aharibikiwe na maisha ili yeye afurahi!lakini weusi hiyo ndo kasumba yetu kama kucha na kidole
 
Hapana mkuu siunajua naokota makopo
[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] hii "naokota makopo" umenikumbisha mbali sana, kama 4years ago [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Hapo ni wapi? Kama ni Mombasa mchanja chanje huyo paka mara tisa ndio afe kabisa. Ukienda naye home usiku atageuka kibwengo wa miraba miine mwenye kwato kama za ngamia. Usiseme hukuambiwa. Kesho asubuhi utaamka na nundu za kufa mtu. Mtaani watadhani wewe ni mgeni. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…