donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewePaka mstaarabu huyo atakua kaletwa huko na mafuriko
Hujisikii kinyaa kumshika Paka?
Bora mie nayeshika kimwaga mkojo changu. Tukishikana mikono lazima usisimke. Si ndio eti enh?Daah ndo maana sipendi kushikana mikono na watu chefuuu mnashika shika kila kitu njiani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] Asanteni kwa kujaDaah ndo maana sipendi kushikana mikono na watu chefuuu mnashika shika kila kitu njiani
[emoji23][emoji23][emoji23] Asanteni kwa kuja
Bora mie nayeshika kimwaga mkojo changu. Tukishikana mikono lazima usisimke. Si ndio eti enh?
Hapo kwenye tezi dume ushaniharibia siku yangu. Kwaheri, naelekea zangu Dodoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee bora hicho hata yule mpima tezi dume nae ntashikana nae tu sio huyu wa paka
Hapo kwenye tezi dume ushaniharibia siku yangu. Kwaheri, naelekea zangu Dodoma
Kushika paka kawaida, je wale wanaoshika mbwa mpaka wengine wanawabusu mdomoni?Hujisikii kinyaa kumshika Paka?
Aisee hao ndo wachafu kupitilizaKushika paka kawaida, je wale wanaoshika mbwa mpaka wengine wanawabusu mdomoni?