Home Tuition: Biology and Geography (Dar es Salaam)

Home Tuition: Biology and Geography (Dar es Salaam)

Joined
Mar 3, 2020
Posts
70
Reaction score
39
Hello wana JF nawasalimieni wakubwa zangu!

Lengo la kuandika uzi huu ni kuwatangazia home tuition kwa wanafunzi wa O level and A level kwa wanaopenda Biology na Geography!

Wale wanaorudia mitihani yao basi tatizo lao ndo mzizi umepatikana!
Napatikana Dsm.

Kwa wanaohitaji huduma hii tuwasiliane +255784214792

Ansanteni
 
📌Mwalimu wa Geography na Biology natafta sehem ya kufundisha mwenye connection anisaidie!

📌Wanaohitaji Tuition for O level and A level !

📌Pia naweza fundisha Home Tuition kwa wanaohitaji .
🏓Napatikana Dar Es Salaam-Mbagala rangi tatu
 
Mwalimu wa Geography na Biology natafta sehem ya kufundisha mwenye connection anisaidie!

Wanaohitaji Tuition for O level and A level !

Pia naweza fundisha Home Tuition kwa wanaohitaji .
Napatikana Dar Es Salaam-Mbagala rangi tatu
Pia mimi nipo DSM nafundsha physics na mathematics

Wakuu nahitaji connection
Hata tution za majumbani kwa sasa
 
GOOD NEWS KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM 📞0784214792
Likizo Time Muda ndo huu
Mwalimu wa Geography and Biology kwa wanafunzi wa 🇹🇿form 1-6
🇹🇿Wanaopenda kusomea nyumbani (Home tuition)
🇹🇿Wale wafanyakazi Wanaopenda kurudia Mitihani
Kwa Walioko Dar wasiliana nami 📞0784214712
Pia utapewa ushauri wa namna ya kusoma ili ufaulu Vizuri masomo yake🇹🇿
 
Mie ambaye anahitaji kwa physics ama mathematics anicheki nimpatie mwamba Wa masomo Hayo.
 
HABARI NJEMA KWA WAZAZI WOTE WA DAR

🔥🔥🔥🔥HOME TUITION PROGRAMME (HTP)
IN DAR ES SALAAM 0784214792/0620875813
#Likizo Time Muda ndo huo
Mwalimu wa Geography and Biology kwa wanafunzi wa 🌏FORM 1-4
🌏 QT AND PRIVATE CANDIDATE (PC)
🇹🇿Wanaopenda kusomea nyumbani (Home tuition)
🇹🇿Wale wafanyakazi Wanaopenda kurudia Mitihani
Kwa Walioko Dar wasiliana nami 📞0784214712
📖📗📘📔📚📚📚📓📒📄📄📗📕📕📕📕
Bei zetu ni nafuu sana kwa Somo 1
⏰Unaweza kulipia kwa mfumo wa Topic 15,000/=
⏰Unaweza kulipia kwa week 20,000/=
⏰Unaweza kulipia kwa mwezi 70,000/=
✍Ushauri kuhusu namna bora ya kusoma ili ufaulu Vizur ni BURE HAKUNA MALIPO
✍Weekly Test kwa kila Somo hii ni BURE
✍Wasiliana nami 0784214792/0620875813
✍Save Time...Home Tuition is the best option📝💼
 
ECONOMICS + GEOGRAPHY A-level. Nipo Tabata. Kwa huduma bora ya tuition kwa mtoto wako karibu dm.
 
Back
Top Bottom