Home sweet home

Ehhee! Shughuli imepata mchezaji!

Tena kwa kutumia ngoma ya mchiriku/gombe sugu...hahaha nilikuwa naona mchiriku au mdundiko ukipita watu walivyokuwa wanaufuatiliya wee kasheshe na ansikia zile ngoma watoto walikuwa wanapotea sana...
 
Nakushauri hii uifungulie thread yake maalum ili wakusaidie hata wale walio nje ya thread hii. After all, heading ya thread hii ipo tofauti na matakwa yako. Ukibuni heading nzuri, nategemea utapata majibu lukuki.
 
Point!...

I think itakuwa good idea akiambatanisha picha yake na discription pia like and dislikes..
Umesahau kujielezea wewe ukoje?? Anyway Good luck

kwa sababu za privacy siwezi kuweka picha yangu JF tukubaliane kwa hilo.....pilidescption zangu niko wazi kuziweka kwa atakaejitokeza kwa PM lakini.....ukiangalia kwa makini u can jua descption zangu...
 
Nakushauri hii uifungulie thread yake maalum ili wakusaidie hata wale walio nje ya thread hii. After all, heading ya thread hii ipo tofauti na matakwa yako. Ukibuni heading nzuri, nategemea utapata majibu lukuki.
vipi vigezo unavyo?
 
sasa mtu ambaye hajawahi kuingia jf itakuwa ngumu kwa yeye kujua description zako na pia hataweza kukuandikai PM since siyo memba wa jf..nakwambia hivyo kwa sababu kuna watu wanasoma tuu jf lakini siyo members...watakupataje?
 
Ubovu wenye hii sio boxing na wengine hatuzimii michezo yenu ya ki-gladiator, hivi mtu gani alostaarabika bado anafagilia huo mchezo!?

Ok...upande mwingine ni kuwa kama unaona nimekosea, basi niripoti kwa Mods wanichukulie hatua......

kuna watu wanahasira humu,hii sense of humour,for which JF members are reknowned for imekwenda wapi?
 
Asie na sense of humor ni wewe hapo unaendandia maneno usoyajua.....ni tabia za jikoni wakati wanaonja chumvi!

Usiku mwema na usikasirike!! LOL.

holla!!!! zimekuwa tabia za jikoni sasa,it seems kwenye hizi PC tuna paper tigers or keyboard generals ready to spit venom at everyturn
 
Nakushauri hii uifungulie thread yake maalum ili wakusaidie hata wale walio nje ya thread hii. After all, heading ya thread hii ipo tofauti na matakwa yako. Ukibuni heading nzuri, nategemea utapata majibu lukuki.

Yo Yo anahitaji mke tailor made kama ulivyokuwa quoted hapa. Kumbuka hakuna aliyekamilika.

Unaonyesha bado ni kijana mdogo sana, hujawa mature enough kuoa.

Tulia, subiri akili yako ikomae ndipo utakapogundua kuwa hakuna mke wa sifa na vigezo vyote unayotaka, asiye na hili ana lile.

Wenye busara wanaongea maneno namna hii. Kudos Shapu.

mkuu muulize huyo alie quoate katoa wapi maandishi yangu....?
Unaonyesha bado ni kijana mdogo sana, hujawa mature enough kuoa.

Tulia, subiri akili yako ikomae ndipo utakapogundua kuwa hakuna mke wa sifa na vigezo vyote unayotaka, asiye na hili ana lile.
Nipe mkeo ndio utajua iam immature au nina akili za kitoto.....
 
Oya Kelly wewe umetoka lini Forodhani? Mimi nimetoka 1993, umenikumbusha mbali sana mkuu though mimi nilikuwa sili chipsi. Nilikuwa nala wali maharage na ndizi mzee ulikuwa mtamu sana infact nikingia mchana nilikuwa sili tena home jioni kwa shibe ya Forodhani. This isnt a joke watu wengi walikuwa wanakonda sana wakati wa likizo, probably I'm one of them.
 
Mzunguko......tuliopita madrasa ndio tunaweza......nyama ipo upande gani.......

Attachments

  • pilau.jpg
    62.4 KB · Views: 90
Karibuni Home Bongo
Hebu washawishi walioko majuu wafikirie kurudi bongo.......vitu gani vinavutia? biashara ya kuwaambia warudi koma kabisa......home kitu gani waache wale raha majuu....kwanza wakija wataongeza competition.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…