Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 111
Wenye mitaji midogo tujikwamue na umaskini kupitia hawa jamaa. :happy:Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.
Mnasemaje:
Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?
Je, niwe makini na yepi?
Je, naweza kusevu kiasi gani?
Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?
Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.
Mnasemaje:
Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?
Je, niwe makini na yepi?
Je, naweza kusevu kiasi gani?
Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?
Anayewateteaq hsc ni wa
nadhani waliokuwa wanawatetea hawa jamaa wameupata ukweli wake.
familia iliyokuwa ikulu ilikuwa ya matapeli na walanguzi wa nchi hii.
ndio maana tumerudi nyuma mno kwa miaka hii kumi.
social services zimekuwa under provided kwa kukosa kodi stahiki.
tulikuwa tunaishi kwa mikopo aafu kuna wajinga wanatuambia kuna lolote limefanyika.!!
watu tunakopa hadi mishahara ya kulipa wafanyakazi wa umma??
sasa wanazalisha nini mpaka waendelee kuwa na ajira zao??
kunyonga kabisa
hawawezi kuja hapa leo wala kesho.cc Ritz1, Faizafoxy
Kuna watu huwa wanatetea kila jambo kisa chama chao kimehusishwa,mwisho wa siku wanaonekana vituko. Nakumbuka ililetwa story ya mdogo wake HSC kuwa consul mdogo China watu wakaongea hapa mpaka basi mwisho wa siku wakaumbuka.hawawezi kuja hapa leo wala kesho.
nadhani utapeli tuliofanyiwa na udalali wa ndugu yao na wao wenyewe wameona ulikuwa upuuzi
.Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.
Mnasemaje:
Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?
Je, niwe makini na yepi?
Je, naweza kusevu kiasi gani?
Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?
@Ritz amebadilika hatetei huu ujinga wa kufilisi taifa!!
Akina Ritz na FaizaFoxy naona walikuwa na maslahi serikali iliyopita. Sioni wakimpigania JPM kama walivyofanya enzi zile!!
Ajira zao zile hazitambuliki tena. Sasa hivi Magufuli hafanyi kazi kwa kutegemea wapambe. Anafanya kazi kwa kufuata kanuni na uwezo wake wa maamuzi magumu..Akina Ritz na FaizaFoxy naona walikuwa na maslahi serikali iliyopita. Sioni wakimpigania JPM kama walivyofanya enzi zile!!
Hivi bado huu upuuzi bado unautetea?Mkuu wangu fanya kazi acha majungu wewe unapakia CBM 2 au 3 halafu unataka wakuonyeshe karatasi za TRA bei pale zipo wazi bero moja la nguo kutoka China mpaka Tanzania ni dola 300 pamoja ushuru...wewe unataka wakuoneshe nini? Kama una ushahidi wanakwepa kodi wapeleke mahakamani mkuu.
Wewe siyo mfanya biashara kama kweli ungelikuwa ni mfanyabiasara basi hayo maswali yako yote ungejiuliza kwa kufanya utafiti kabla ya kuagiza. Kwa sasa kula shubiri tuu kwani haijalishi unamtumia agenti gani. Mzigo ukifika tuu aidha utalipa na ukishindwa basi subiri unadiwe ushindane na wajanja.Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.
Mnasemaje:
Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?
Je, niwe makini na yepi?
Je, naweza kusevu kiasi gani?
Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?