Home of Excellency: SUA Vs UDSM

Home of Excellency: SUA Vs UDSM

[emoji122][emoji122][emoji122]
Watu wanajibu humu kama alokatwa kichwa. Sua ni chuo chenye kozi za kilimo, mifugo na science za wanyama. Udsm kina kozi zake pia. Qualifications za kuingia kwenye hivi vyuo ni harmonized. . Anayetaka kusoma udaktari wa mifugo hata akiwa na one ya 5 points ataenda sua. Anayetaka kusoma electrical engineering ataenda Udsm. Ushabiki wa kijinga tupa kuleer
 
Umesema kweli,ila wacha nikuongezee!Haya ni majadiliano yanayohusisha kidato cha sita pamoja na mwaka wa kwanza!
Hehee mi ndio maana madogo yakinipigia simu kuniuliza chuo nayaambia yakasome chochote tu...fainali ukimaliza chuo...watu wanachanel.zao ajira kugusa tu
 
Hawa vijana hawajielewi kozi kribia nyingi za SUA hazipatikani udsm hivi utalinganishaje

Mtu kasoma cbe kama anataka veterinary ni SUA tu Hakuna option
Mkuu wasamehe vijana wetu..ndio aina ya kizazi cha sasa ambacho hata kujua unafanya comparison ya variables zisizo shabihiana hawagundui...ni kama unafananisha maembe na machungwa!...
 
Back
Top Bottom