Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Salam wakuu. Weekend ndo hiyo inajongea taaa...ratibu! Dsm joto jotoo,pesa haionekani,pesa haikai mfukoni.
Nije kwenye mada tajwa hapo juu. Tukilinganisha vyuo hivi viwili yaani Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm),kipi mi bora zaidi katika nyanja zifuatazo:
1. Ucompetence na umakini wa wahandiri
2. Ubora wa elimu wanayotoa
3. Kuzalisha wahitimu waliopikwa wakapikika
4. Tabia /behaviours za wanafunzi wake
5. Wanafunzi wake wanaoajiriwa haraka zaidi
6. Ugumu wa shule wanayotoa
7. Wanafunzi wanaotoka wakijua practical zaidi kuliko bla bla
8. Ambacho ni rahisi kudahiriwa (kujiunga)
9. Chenye miradi mingi
Tafadhari makinika nami.