Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
- Thread starter
-
- #61
Milan wasipochukua SCUDETO msimu huu inabidi wachezaji wapewe bakorakatika mechi zilizofanyika #umamosi yaani jana klabu ya Inter imeweza kuifunga klabu ya Chievo magoli 2-0....
Huku AS Roma wakiwafunga vijana wabishi wa Udinese kwa jumla ya magoli 2-1.
Magoli ya AS Roma yalifungwa na Sharp Shutter Francesco Totti, na goli pekee ya Udinese lilifungwa na Antonio Di Natale.
Milan wasipochukua SCUDETO msimu huu inabidi wachezaji wapewe bakora
Naunga mkono hoja