Home ideas: wall painting

Home ideas: wall painting

FB_IMG_1741198581785.jpg
 
Kwenye ujenzi wa nyumba hakuna kitu kinakula gharama na kuleta stress karma 'finishing'
Leo tutaangazia kipengele cha urembo wa kwenye kuta.. Hapa badala ya kubandika mapichapicha yenye gharama na yanayoweza kuharibika kwa kuchakaa ama kuangushwa basi suluhu nyingine rahisi ni kuchora picha kutani.. Maarufu kama wall painting
Kama wewe ni mpenzi wa vitu unique unaweza kujaribu hata kwenye baadhi ya kuta zako nyumbani
Ifuatayo ni baadhi tu ya michoroView attachment 3222397
Contacts please nani anafanya hizi kazi
 
Back
Top Bottom