hombolo vipi

kizerui

Member
Aug 17, 2012
19
2
mimi ni miongoni mwa wasailiwa wa chuo cha hombolo naulizia je hombolo hajafunguka maana nina interview tarehe 28 na 31 mwezi huu sehemu nyingine lengo na nia ni kwamba kama hombolo wamenipatia maisha niwaachie wanaj4 wengine waende wakajaribu bahati yao, but to me i can say that an interview was fair so let put all duah to ALLAH.
 
Acha umbea uliambiwa baada ya mwezi watapiga simu, wataweka kwenye mtandao. Unajipa mahope wakati mtihani huo huo wamefanya Hombolo, Mipango, TAEC na COASCO so high competion baba>
 
Acha umbea uliambiwa baada ya mwezi watapiga simu, wataweka kwenye mtandao. Unajipa mahope wakati mtihani huo huo wamefanya Hombolo, Mipango, TAEC na COASCO so high competion baba>

Sasa kama wamefanya huo COASCO, TAEC na MIPANGO, yeye ina muhusu nini? wivu tu unakusumbua.
 
Sasa kama wamefanya huo COASCO, TAEC na MIPANGO, yeye ina muhusu nini? wivu tu unakusumbua.

Sio wivu ndg yangu ni kutokusikiliza maagizo na mimi nilipiga Written mpaka oral huko Homboro na ulipokuwa unaondoka wanasisitiza majibu baada ya mwezi kinachomleta hapa ni nini ndugu yangu. wakati Interview ilikuwa trh 08/08 na trh 10/08 wakati ndo wiki imeisha. WIVU Wa nn bosi.
 
Back
Top Bottom