Unaamini mawazo ya hao wengine bila kujua kama wao ni madaktari wa binadamu au la.
Okay, basi nakupa mawazo, mpeleke mwanao kwa Prof Maji Marefu, kalogwa na yule jirani yako mweupe, anakuonea wivu hivyo kila usiku huja kuwawangieni. Ukiona mtoto joto linapanda usiku, muda huo ndio mnawangiwa.
Usipuuze huu ushauri, usije jikuta kwa mzee wa ufunuo ukishuhudia mwanao kuwa msukule.