Homa za usiku kwa watoto wadogo chini ya miaka 5

Mom

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
708
29
Nini hasa kina sababisha homa za usiku kwa watoto wadogo (infants). homa hizi huanza muda wa jioni sa1 na mara nyingi inakuwa kati ya 38C - 38.4C degrees lakini ifikapo asubuhi mtoto anakua normal but very tired! hospital wanasema ni meno yanaota lakini naona inachukua muda mrefu nearly two months sasa. kwa yeyote mwenye uzoefu hapa naomba ushauri
 
Hapa kunaweza kuwa na wenye mawazo mengine jinsi ya kukabiliana na matatizo ya homa za usiku kwa watoto, natafuta mawazo ya watu hapa na from you nimepata wazo to stick on what the doctor says! nasubiri ya wengine
 
Unaamini mawazo ya hao wengine bila kujua kama wao ni madaktari wa binadamu au la.

Okay, basi nakupa mawazo, mpeleke mwanao kwa Prof Maji Marefu, kalogwa na yule jirani yako mweupe, anakuonea wivu hivyo kila usiku huja kuwawangieni. Ukiona mtoto joto linapanda usiku, muda huo ndio mnawangiwa.

Usipuuze huu ushauri, usije jikuta kwa mzee wa ufunuo ukishuhudia mwanao kuwa msukule.
 
tehee tehee
kwani we hua unaamini kila unachoambiwa ama?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom