secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,777
- 47,672
Lovely Emmy, jaga kaya..... nk.Ulikuwa unatumia id gani kabla hii ya sasa haijarudishwa?
Sasa amekuwa Holoholo tena
Lovely Emmy, jaga kaya..... nk.Ulikuwa unatumia id gani kabla hii ya sasa haijarudishwa?
Ila jamaa unapenda sana kubadili ID.
Hilo jina ndo limekaa vyema . Akitongoza lazima akubaliwe bhana!Amechange jina tu amerudi kwenye Jina lake maarufu Holoholo 🔥
Yaap inabidi atulie nalo sasa Yale mengine yalikaa kitapel sanaHilo jina ndo limekaa vyema . Akitongoza lazima akubaliwe bhana!
Hasa lile la jaga kaya limekaa vibaya 😂.Yaap inabidi atulie nalo sasa Yale mengine yalikaa kitapel sana
Mkulungwa, tangu nimejiunga humu sijawahi kupamiana nawe, inakuwaje unanifahamu, ID yako bandia ni ipi unaniweka katikati ya sufuria la mafuta.