Ndio, bando la kutosha ni usiku saa6 usiku mpaka 12 asubuhi, unapata 10 gb halotel Kwa 1500, Kwa ttcl unapata Kwa 1000,
Na unatakiwa uwe na nafasi ya kutosha kwenye simu yako,
Ila Mimi natumia PC kwenye nafasi hakuna tatizo, nachukua movie 8 au9 mpaka asubuhi zote tayari unafanya kuwatch.