Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Nov 17, 2018 #1 Wadau wa Hollywood wa movie za 4k naomba munisaidie jina la hii movie.
wakusoza JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 628 Reaction score 649 Nov 17, 2018 #2 Asee njoon mtoe majibu na mimi nimeipenda ghafla asee
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,332 Reaction score 11,780 Nov 17, 2018 #3 Kwani picha hiyo umeitoa wapi mkuu?
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Nov 17, 2018 Thread starter #4 Kwenye WhatsApp mkuu King Mufasa said: Kwani picha hiyo umeitoa wapi mkuu? Click to expand...
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,332 Reaction score 11,780 Nov 17, 2018 #5 Lord eyes said: Kwenye WhatsApp mkuu Click to expand... Basi sawa ngoja niunge foleni kusubiri majibu ila ungeuliza hukohuko watsap nadhani ungepewa majibu kabisa tena haraka zaidi.
Lord eyes said: Kwenye WhatsApp mkuu Click to expand... Basi sawa ngoja niunge foleni kusubiri majibu ila ungeuliza hukohuko watsap nadhani ungepewa majibu kabisa tena haraka zaidi.
Chinsali JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 1,012 Reaction score 1,581 Nov 17, 2018 #6 Hyo zombie 🧟♂️
kkenzki JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 1,503 Reaction score 2,514 Nov 17, 2018 #7 Inaitwa 'Species'
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Nov 17, 2018 Thread starter #8 Kweli ngoja nijaribu kkenzki said: Inaitwa 'Species' Click to expand...
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 17,455 Reaction score 8,746 Nov 17, 2018 #9 Inaitwa Splice
kkenzki JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 1,503 Reaction score 2,514 Nov 17, 2018 #10 Lord eyes said: Kweli ngoja nijaribu Click to expand... Ni Splice mkuu.. Nilikosea, ingapokuwa species ipo pia na plot zao zinafanana
Lord eyes said: Kweli ngoja nijaribu Click to expand... Ni Splice mkuu.. Nilikosea, ingapokuwa species ipo pia na plot zao zinafanana
sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 565 Reaction score 397 Nov 17, 2018 #11 NI MOVIE AU NDO MFUMO WA SULTAN
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Nov 18, 2018 Thread starter #12 Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie? UHURU JR said: Inaitwa Splice View attachment 938052 Click to expand...
Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie? UHURU JR said: Inaitwa Splice View attachment 938052 Click to expand...
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 17,455 Reaction score 8,746 Nov 18, 2018 #13 Lord eyes said: Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie? Click to expand... Jaribu kwenye Teatv.
Lord eyes said: Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie? Click to expand... Jaribu kwenye Teatv.
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,341 Jan 2, 2020 #14 U Lord eyes said: Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie? Click to expand... unatumia PC au simu mkuu.
U Lord eyes said: Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie? Click to expand... unatumia PC au simu mkuu.
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Jan 2, 2020 Thread starter #15 Tony-stark said: U unatumia PC au simu mkuu. Click to expand... Simu
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,341 Jan 2, 2020 #16 Lord eyes said: Simu Click to expand... Jaribu playbox
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Jan 2, 2020 Thread starter #17 Tony-stark said: Jaribu playbox Click to expand... Inapatikana wapi play store
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,341 Jan 2, 2020 #18 Lord eyes said: Inapatikana wapi play store Click to expand... Playstore haipo, Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie
Lord eyes said: Inapatikana wapi play store Click to expand... Playstore haipo, Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Jan 2, 2020 Thread starter #19 Tony-stark said: Playstore haipo, Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie Click to expand... Ok nimekupata uTorrent nayo inamaliza nafsi kwenye simu yangu anyway nitafanya hivyo mkuu
Tony-stark said: Playstore haipo, Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie Click to expand... Ok nimekupata uTorrent nayo inamaliza nafsi kwenye simu yangu anyway nitafanya hivyo mkuu
tzhello Senior Member Joined Sep 7, 2012 Posts 114 Reaction score 52 Jan 4, 2020 #20 Tony-stark said: Playstore haipo, Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie Click to expand... Hivi si inabidi uwe na bando la kutosha,tupeane maujanja bando zipi ni cheap kudownload movies au we unafanyaje mkuu?
Tony-stark said: Playstore haipo, Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie Click to expand... Hivi si inabidi uwe na bando la kutosha,tupeane maujanja bando zipi ni cheap kudownload movies au we unafanyaje mkuu?