Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,016
- 4,364
DuuuuHaka kaeneo mkuu kana machangu doa wengi kuliko wateja. Kanaelekea kuwa kama Shivas kwa wale wa Arusha
DuuuuHaka kaeneo mkuu kana machangu doa wengi kuliko wateja. Kanaelekea kuwa kama Shivas kwa wale wa Arusha
Umekumbuka Nini mchambuzi
Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.