Holiday Inn Helicopter Kuna nini?

Holiday Inn Helicopter Kuna nini?

Liz Senior

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2007
Posts
483
Reaction score
53
Jamani si jambo la kawaida sana hebu mtujuze mnaojua nini kinaendelea. Kuna Helicopter imetua dakika chache zilizopita Juu ya jengo la hotel ya Holiday Inn. Ni watu na raha zao, kurahisisha usafiri?

oi8yg6.jpg
 
Pengine haya ndio maendeleo yatakayopunguza foleni ikiwa wakuuu wetu watayatumia! Ha ha ha! Nilisahau kuna gharama kurusha hili dude! To be sincere this is the first time to see this hapa penyewe petu. Ngoja wenyewe walibebe kwenye kampeni! sasa hivi utawasikia manufaa ya uwekezaji siku hizi jijini Dar es Salaam wageni wanaweza kutua na chopper zao
 
Ni kweli Helicopter hiyo bado umetulia hapo mpaka sasa. Wenye taarifa watazimwaga humu ili nasi tujue kinachoendelea.
 
katika building codes za kimataifa, kila high rise building linatakiwa liwe na uwezo wa kutua kwa helikopta.

(hii ni kwa mujibu wa safety and evacuation codes za high rise buildings na pia matumizi wakati wa majanga asili)

sasa labda hizo codes za kimataifa nazo zimeanza kutumika Tanzania.

nipo hapa nadunduliza vijisenti nikisubiri huduma ya dar by night tour kwa kutumia chopper :smile-big:
 
Ha ha mkuu, watu mna mkwara, ila hiyo poa kweli
 
...Labda ni Helicopter zinaotumiwa kwenye kampeni na Pilot wake anaishi kwenye hotel hiyo so why not 'asiipaki' kwenye eneo analolalia??:smile-big:
 
AU ni helkopita ya CCM inamsubiri mkuu waendelee na kampeni. Nasikia alirudi kutibiwa Dar, si mnakumbuka bado anasumbuliwa na kale kaugonjwa
 
Usishangae kuambiwa ni ya JK anaogopa msafara wa magari utasababisha foreni na wanachi kuchelwa kwenye miadili yao.
Wakati wa kampeni huu tuwe makini kuchuja mambo!
 
hiyo ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli kwa wafanyabiashara wakubwa na wamepewa kibali leo kufanya majaribio
 
Isiwe imeingia nchini kinyemela bila ya ile radar yetu ya 40bn Shs kuitambua. Si wanajua ni mbovu tu? Kuna 'shehena' wameingiza na nyingine wanachukuwa, si nchi hii ya holela tu kwa wakuja?
 
Usafiri wa kutumia hericopter unataka mafunzo ya usalama wa watumiaji wa chopper wakati wa kupanda, ukiwa ndani,kushuka.
 
Sipati picha mijitu litoka ofisini mwao na kuanza kushangaaaaa haha hahhaha:becky::becky::becky::becky::becky:
 
166dber.jpg

oi8yg6.jpg

Ndo ilivyokuwa:becky::becky::becky:
 
Attachments

  • hel.jpg
    hel.jpg
    11.9 KB · Views: 44
  • hel2.jpg
    hel2.jpg
    14 KB · Views: 47
Ni kweli Helicopter hiyo bado umetulia hapo mpaka sasa. Wenye taarifa watazimwaga humu ili nasi tujue kinachoendelea.

Jengo la holiday inn limejengwa na kitu kinaitwa helicap kama sikosei hii ni sehemu ya kutua helicopter then kuna ngazi unashuka unafika kwenye lifts za kushuka vyumbani au lounge. The facility was designed for avoiding traffic jam for holiday inn customers wanaenda ku catch their flight so hakuna cha kushangaa ni facility ipo na sasa nadhani imeanza kutumika rasmi
 
Dah Kama vile la kubebea....zile zahabu zetu za migodi...sasa wamemaliza safirisha wanaenda pumzika na kanywaji.
 
Imekuja late CCM wangeweka kwa ilani iyo na kujinadi maeneo ya uswekeni uko
 
Imekuja late CCM wangeweka kwa ilani iyo na kujinadi maeneo ya uswekeni uko

nacheka , nacheka, nacheka, nacheka......................................... nitampigia Makamba simu ili aweze kuiongeza kwenye AHADI za Kikwete.
 
Back
Top Bottom