Mhh bwebe wangu weee.. Ruttashobolwa yuko busy na act huko yaani hata hakumbuki kama akanana wake yuko pande hii.. Kanisusia kabisa nimebaki mwenyewe kwako..
Halafu wewe Paloma..! Unafanya nini nae hapo..? Siku hizi unawanigleti watoto wangu sana ujue..! Nitawabeba na kuwapeleka kwa step mom wao Passion Lady.. Wewe hayaaaa..
Passion Lady plizi.. mke mwenzio huku anataka ubondi na watoto wako wa kufikia..wapeleke tu .....naye akaonje ulezi wa mapacha uko vipi na pia wamfahamu,,,,,,,,,,,,,,,,,
Nimefurahi umenikumbuka my girl. Nami nichukue nafasi hii kurudisha love back to you.Jamani nimewamiss humu woooteeee. Nikianza kuwataja nitamaliza kurasa zoteee. I miss you peple. Nimtaje my husband Eli79.
Many regards to you all
Nimefurahi umenikumbuka my girl. Nami nichukue nafasi hii kurudisha love back to you.
Tatizo unapotea sana...miss ya!
Oh...Kumbee.
Salaam zako kwa wana AW zimefika.
CC: PakaJimmy
Mzee wa Rula
Filipo
marejesho among all.