Holiday Greetings, Tuma salaam

BAK asante sana my dear ..
mi nilikwama kidogo ila nashukuru kwa wewe kutusalimu na kuturembea ukumbi.
Be blessed my dear .
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Thank you so much afrodenzi for this info, hujachelewa lakini ujue. Kila la heri.

BAK asante sana my dear ..
mi nilikwama kidogo ila nashukuru kwa wewe kutusalimu na kuturembea ukumbi.
Be blessed my dear .
 
Last edited by a moderator:
Ila siku mbili hizi pangekuwa na thread ya kutoa makavu laivu ningefurahi sana.

Kuna watu wawili watatu wamenikwaza ningewachana weee halafu yaishe nianze mwaka vizuri.
 
Ila siku mbili hizi pangekuwa na thread ya kutoa makavu laivu ningefurahi sana.

Kuna watu wawili watatu wamenikwaza ningewachana weee halafu yaishe nianze mwaka vizuri.

Nimekumiss sana Karucee
 
Last edited by a moderator:

happy new year to you sosoliso
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu nilikuwa mpishi wa mbege wa mwaka huu nikashindwa kujibu mapema.. happy new year
 
Last edited by a moderator:
Natuma salam kwa babu yake ambae ni marehem
natuma salam kwa bibi yangu ambae ni marehm
natuma salam kwa mjomba ambae pia ni marehem

ujumbe ntakuja huo kuwatembelea mda sio mrefu
 
Last edited by a moderator:

Bazazi kaka yako.

Mi mtumishi wa Mungu usiniweke kwenye fungu la wadumisha mila...... Yani labda itokee tu.
 
nyooo mbona unanifuatilia kama fisi akifikir mkono utadondoka???
mila unaumisha sana na hizi sikukuu nadhani huna kitu

Ukiona hivyo ujue ilitokea tu.... Yaani ukinifikiria na kunikubalia.... itatokea tu lakini...... ntakuwa sina jinsi.

Kwahiyo?
 
Ahsante my wiii nakutakia heri ya krismass na mwaka mpyaaaa
 
Last edited by a moderator:
Thanks sana my dia ICHANA.Juzi nilionana mmeo makoyo akaniambia mmeachana?Jamani hebu fanyeni utaratibu mrudiane nilikuwa naipenda sana couple yenu

Na wewe babu Asprin mbona hauonekaniki au umepata dogodogo anaeyekubana????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…