Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
Hahahahahaaaaa!
Kaka nimethomaaaaa, hadi nimemalidha comment kumi na titha za huu uzi zijaziona principle zako!!!!!
Thatha bath, thiweki dha kwangu hadi uweke dha kwako!! Tena udhiweke kama thiredi inavyojieledha ie faida na hathara ili tujifunze kutoka kwako!!!!
Au umesahau 'thadaka huandha nyumbani'?

^^
Kila mmoja ana mipaka yake ya kulinda heshima ya utu wake.Kanuni alizojiwekea mwenyewe ili kumpata aliyewake au ataekizi mahitaji yake.Ni kama ulinzi fulani unaokuepusha na wasio stahili.
....
Lakini tujadiliane na kupeana uzoefu kidogo,je hizo principles ulizojiwekea zimekuwa msaada kujenga mahusiano au zimebomoa na kukuachia huzuni? Mfano wanaoamini kuwa mwenza awe hivi au vile,au kabila fulani mi sitaki, pengine kuoa/kuolewa na mwenye mtoto sitaki n.k n.k
....
Je umekutana na changamoto zipi ambazo ungependa kutahadharisha wengine?
Tujadiliane
^^