Hoja yangu CHADEMA Jana walihujumiwa

Hoja yangu CHADEMA Jana walihujumiwa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,829
Reaction score
40,370
Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.

Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.

Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato.

Mwisho akafunga na kwenda shule ya msingi aliyosomea kufungua visima nane vilivyojengwa na Islamic foundation.

Hoja yangu:

Wakati haya yote yakiendelea chadema walikuwa na mkutano wao mkuu ambao kimsingi ni tukio la kitaifa lenye uzito kuliko hata ratiba ya Jana ya MH Rais.

Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
 
Una hoja ya msingi, lakini kama unakumbuka, Mbowe alisema jana kuwa media zote zilikataa kurusha live mkutano kuwa wanaogopa kufungiwa. Hivyo tusiwalaumu!
Sasa huoni Kama hii ni dhambi na doa ndio Yale Yale aliyosema Obama unavifungia vyama vya upinzani na vyombo vya habari halafu miraculously unapata 99.9% kura
 
Hapana bwana kumbuka yule ni rais tena sio rais wa tff ni rais wa inchi, huwez kusema tukio Lake lisirushwe kisa chadema wanafanya uchaguzi
Matukio yake hayakuwa na uzito na yangeweza kufanywa kimyakimya bila kusumbua taifa zima as if kuna Jambo zito la kitaifa limetokea.
 
Mzee baba unasema kabisa Mambo ya CHADEMA ni ya muhimu kuliko Ziara ya RAIS kuzindua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi ambayo hata wataoitumia ni wote hata wasio na chama! Kwa hili mtazamo wangu uko tofauti na wakwako. nadhani CHADEMA walifanya mambo yao bila hatu kusumbuliwa mpaka wakahitmisha leo asbh
 
Hiyo ni dharau sasa, yaani Rais aache ratiba zake eti kisa tu Chama cha siasa kina mkutano na uchaguzi. hauko serious
 
Hata kipindi cha hao wakoloni ama Mabeberu kama wengine wanavyowaita hawakuwaminya hivi wapigania Uhuru wetu kina Mwalimu na wenzake!!

Nchi huru ipi hii hata Media zinaogopa kurusha Mkutano Mkuu wa chama cha Siasa? - Bendera eneo la mkutano zinanyofolewa as if Vyama hivi ni vya kigaidi..huu ndiyo uhuru wa mwaka 1961 ambao Mwalimu aliupigania?

Mambo ya ajabu kabisa!!
 
Mzee baba unasema kabisa Mambo ya CHADEMA ni ya muhimu kuliko Ziara ya RAIS kuzindua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi ambayo hata wataoitumia ni wote hata wasio na chama! Kwa hili mtazamo wangu uko tofauti na wakwako. nadhani CHADEMA walifanya mambo yao bila hatu kusumbuliwa mpaka wakahitmisha leo asbh
Rais anakwenda kuzindua kisima cha maji inakuwa tukio LA kitaifa?
Kweli tumefikia hatua ya mwisho kurejea kwenye unyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hayo tunawashukuru Makada Waandamizi wa CCM walitupa promo kubwa sana! Kila mahali kwenye media unawakuta wanazungumzia Chadema. Walisahau kabisa kuhusu Mwenyekiti wao huko Chattel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.

Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.

Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato.

Mwisho akafunga na kwenda shule ya msingi aliyosomea kufungua visima nane vilivyojengwa na Islamic foundation.

Hoja yangu:

Wakati haya yote yakiendelea chadema walikuwa na mkutano wao mkuu ambao kimsingi ni tukio la kitaifa lenye uzito kuliko hata ratiba ya Jana ya MH Rais.

Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
Acha bangi, yaani mkutano wa saccos uwe na umuhimu kuliko yale aliyokuwa anayafanya Rais? Kuwa serious basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kutooneshwa kwa mkutano ule CCM wanatakiwa wapongezwe kwa sababu ambacho kingeonekana hapo kingebaki kumbukumbu ya kudumu kwa watoto wetu ya namna ya kushiriki na kufanya "uchafuzi"
 
Kunguru ww

Back
Top Bottom