Si unywe sumu tuu ufe? Mbona mnaumia sana uchaguzi wa chama sio chenu?
Wenye chama yaani wanachama wa Chadema ni furaha na vifijo inakuwaje kwenu?
Mbowe hafai kuwa mwenyekiti (kwa muono wenu) kwamba ataua chama, jee ni jambo gani LA furaha kama hilo kwa mwenyekiti wenu, katibu mkuu hadi Polepole?
Hivi inawezekana mtu unayevizia kumuua kwa njia mbalimbali unashindwa kisha unamkuta anakunywa sumu unamzuia na kusikitika? Chadema imekunywa sumu yenyewe ili ife furahini basi! Makelele na vioja vyenu vimetuchosha kabisa. Bladi basketi boli ¢€¥√¶
Sent using
Jamii Forums mobile app