KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Kwahiyo hapa unataka kutuaminisha kwamba Zitto Kabwe ni mbunge wa CCM!!??........
wewe KIM KARDASH nashindwa kukuelewa kabisa kwa hiyo unataka kutuaminisha Zitto ni jeshi la mtu mmoja!?
umesahau kuwa aliyeanzisha mjadala wa kumpigia pinda no confidence ni lissu bungeni kabla zitto kuiendeleza,kwani zitto anatoka chama gani?roho inakuuma,unatamani kujiunga cdm ila unaona aibu kula mitapishi yako!
kaanza na hamad,huyu atakuwa masalia ya CUF, kama siyo CCK. suala la msingi ni ujasiri wa kuanzisha majadala. ingawa sikuangalia vipindi vya bunge wakati yanaibuka, najua kuwa, aliyeanzisha kitu hii ni TUNDU LISU aliposhauriwenyekiti wa kamati zilizowasilisha uozo kuwasilisha hoja ya kupiga kura kutokuwa na imani ni waziri mkuu.
hayo mengine yakaendelea. lakini swala ni la kitaifa na kizalendo, bila kujali nani kalitoa, wote waliounga mkono ni majasiri na wana uchungu na nchi yao kama siyo yetu
Naomba nikurekebishe kidogo hapo kwenye red; kwa upande wa CUF hawakuunga bali WALIUNGISHWA mkono kwa nguvu. Order ya kufanya hivyo hivyo ilitoka Makao Makuu na sio kwa dhati ya mioyo yao. Kimsingi wanafuata maelekezo kama watoto wadogo.
Tarehe za mwisho hizi, you might not be feeling well, I know, I know it.:A S angry:
Ni mapema sana kuonyeshana itikadi katika suala hili_nadhan wengi hawafaham kuwa hoja hii itakapopelekwa Bungen itahitaj kuungwa mkono kwa 50%_ivo utaona ni kiasi kikubwa cha wabunge watahitajika kuungana kwa pamoja desipite ya Vyama wanavyotoka, tukianza kuonyeshana ubabe na ujuaji ni wazi suala hili halitoungwa mkono kwa kiasi hicho. Nawasihi kuacha mwenendo huu kwasababu halitowasaidia ninyi wala Taifa.kwa hiyo ilitoka makao makuu ya chadema au,acheni kibri kura zenu hazitoshi kuiangusha serikali bungeni,hata kama mngependa hamuwezi fanikiwa bila msaada wa anagalau cuf,yani kwenye mipango yenu yeyote mtakayoiandaa dhidi ya govt kuomba msaada cuf hakukwepeki kwani peke yenu hamna meno,hamkupewa na wananchi wapiga kura