MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
Ndo matatizo ya mambo ya kuiga!
Kama tuliweza kuiga kutoka US kuhusu mgombea mwenza mambo ya vyama vingi yalipoingia hata kufikia kukiuka makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.....then kwa hili tunaweza pia kulibadilisha.
Kwa muono wangu linawezwa kufanywa gumu only because linagusa maslahi ya wakubwa wengi na kupelekea kuwaathiri kimapato, hapo ndio penye ugumu mmoja.
Je, waongozwa hawana nafasi yoyote ya kushinikiza mabadiliko ya mfumo?Ukweli jabisa. Wenye mamlaka ya kuubadili mfumo endapo haufi wataangalia mambo kadhaa.
1. Je mfumo uliopo una tufaidisha vipi?
2. Je tuki chukua mfumo mpya uta tufaidisha vipi?
3. Mfumo mwingine utampa nani advantage?
4. Nita nufaikaje na mfumo mpya na uta nipa nini mimi?
Kuna maswali mengi sana ya kibinafsi yataulizwa.
Lazima kutakua na mambo ya kuangalia maslahi yao na hiyo ndiyo ina ponza taifa kwa maana viongozi wetu wana jiangalia wao na si taifa.
Jamani nina swali. Nime kuwa niki pitia na kuchangia kwenye thread moja hapa ihusuyo Diallo kumjia juu Mkullo. Sasa ika tokea kitu fulani ambayo nimeona yafaa kuanzishiwa thread. Je ni busara mbunge kuwa waziri kwa mfumo wetu wa siasa? Waziri anaweza kutumikia taifa na jimbo kwa wakati mmoja? Kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali na kazi ya waziri ni kuitetea serikali sasa waziri ambae ni mbunge afanye lipi? Waziri hawezi kutumia nafasi yake kupendelea jimbo lake? Waziri ana muda gani wa kushugulikia jimbo lake? Mimi naona mfumo huu una walakini wana JF mnaonaje hili? Huu mfumo wetu wa kiasi kikubwa tumeuazima toka Britain, je kwao mfumo huo ume fanikiwa? Mfumo huo kwa kwetu ume fanikiwa? Je mfumo wetu una hitaji kuangaliwa upya ili kwenda na wakati na hali halisi ya nchi yetu?
Jamani nina swali. Nime kuwa niki pitia na kuchangia kwenye thread moja hapa ihusuyo Diallo kumjia juu Mkullo. Sasa ika tokea kitu fulani ambayo nimeona yafaa kuanzishiwa thread. Je ni busara mbunge kuwa waziri kwa mfumo wetu wa siasa?
Kwa maelezo ya hapo juu, kuna matatizo yanayoweza kutokea endapo Mbunge huyo atakuwa anawakilisha jimbo lililo mbali sana na mahali anapofanyia kazi kama Waziri. Mfano, endapo Mbunge wa Ujiji akiteuliwa kuwa Waziri, ni dhahiri kuwa atashindwa kwa kiwango kikubwa kutekeleza wajibu wake katika nafasi zote mbili kwa ufasaha.Waziri anaweza kutumikia taifa na jimbo kwa wakati mmoja?
Kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali na kazi ya waziri ni kuitetea serikali sasa waziri ambae ni mbunge afanye lipi?
Jibu rahisi ni Hapana. Nadhani matatizo yetu mengi yanatokana na mfumo huu (hasa katika utendaji wa serikali.Mfumo huo kwa kwetu ume fanikiwa?
Nadhani hatua zinahitajika za kubadilisha Katiba ili iruhusu Mawaziri kuteuliwa kutoka katika sehemu yoyote ya jamii ya Watanzania. Inatakiwa Waziri mteule, akishateuliwa, apitie Bungeni, wamsaili (interview) kuona kama ni msafi, ana uwezo na anajua mwelekeo wa nchi katika kipindi kinachofuata. Utaratibu huu ungetuondolea uwezekano wa kuteuliwa Mawaziri kwa kuzingatia urafiki, wasio na uwezo (ili mradi ni wenzetu) na wenye tabia njema (si mafisadi, wezi, wavivu n.k.)Je mfumo wetu una hitaji kuangaliwa upya ili kwenda na wakati na hali halisi ya nchi yetu?
Kama tuliweza kuiga kutoka US kuhusu mgombea mwenza mambo ya vyama vingi yalipoingia hata kufikia kukiuka makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.....then kwa hili tunaweza pia kulibadilisha.
Kwa muono wangu linawezwa kufanywa gumu only because linagusa maslahi ya wakubwa wengi na kupelekea kuwaathiri kimapato, hapo ndio penye ugumu mmoja.
This is one of the best topics to be discussed! thanks for this
kwa kifupi hawatakiwi! nadhani hata wao wanajua ila ubinafsi bwana,
sijui kama kuna chama kina sera kama hii!!!
CHADEMA AMKENI DESA HILI
Je, waongozwa hawana nafasi yoyote ya kushinikiza mabadiliko ya mfumo?
Kama tuliweza kuiga kutoka US kuhusu mgombea mwenza mambo ya vyama vingi yalipoingia hata kufikia kukiuka makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.....then kwa hili tunaweza pia kulibadilisha.
Kwa muono wangu linawezwa kufanywa gumu only because linagusa maslahi ya wakubwa wengi na kupelekea kuwaathiri kimapato, hapo ndio penye ugumu mmoja.
On the one hand collective responsibility demands a unison standing on the part of ministers, as government representatives.
On the other, the same ministers are answerable to their constituencies, as members of parliament.
The apparent reconciliation of the two is the fallacious assumption that the government will always act in the interest of all constituencies.
The supposed merit of having all ministers from the pool of MPs is the confidence of selection from a group that is already approved democratically by the electorate, in such a way that whatever happens after the ministerial appointment, the president will have the confidence of saying that I did not just pick any Tom, Dick or Harry, I selected among elected parliamentarians.The fallacy of this position is that too much stock is invested in electrocracy without actually vetting the validity of the other dynamics of democracy.Elected officials are not possesing unimpeachable integrity just because they are elected. One has to only revisit the fall of fromer PM Edward Lowassa from grace to appreciate how illusive the sanctification of elected officials can prove.Some would even go as far as saying elected officials do not posses unimpeachable integrity BECAUSE they are elected, their election being in a system that is full of corruption in which nobody can rise up the political ranks without shameful conducts, from nepotism to grand corruption.
The danger of a non-parliament based cabinet is real, in that all types of political payola schemes from simple quid pro quo to elaborate campaign finance misconduct will be at the mercy of the president.
The folly of the parliamentaly based cabinet is, it does not stop the very things it was supposed to stop, i.e it does not stop people of questionable integrity to get in the cabinet (How did Emmanuel Nchimbi and Nazir Karamagi get in the cabinet?). we have to chart a system to weigh the two in a comparative way to determine which is less injurious, which most benefial, by how much, and if a hybrid of the two with "best of both worlds" scenario is possible.
So in esence we now have the worst of both worlds.
On one hand the president is not free to choose people outside of parliament (Technically he has ten seats he can bestow on any Tom, Dick or Harry but in principle and fact they will become parliamentalians first before ever being able to become ministers, and even that laxity is limited, used sparingly and reserved for the likes of Kingunge, a few up and coming party stars and the odd disabled/ special interest person)
So on the one hand the president is limited to this pool of parliamentalians, mostly politicians and retired bureaucrats.He is missing out on a lot of talent from outside the parliament.
On the other hand the principle behind this scheme aimed at having a group of people that is already vetted and passed by the people.This vetting process and the whole idea is a big sham, it is as if the people are vetting on who is the most corrupt.
So that is how we end up with mostly bad apples, the Diallos of this world, the Nchimbis, Mkullos, The Mama Simbas and Hawa Ghasias, the Batildas and a host of other funny characters who would not pass an oral interview to be a CEO of a multinational's Tanzanian branch.
I say we remove this requirement, allow the president to pick anyone for the cabinet, but each selection be confirmed by the parliament.This way no one can say the people (or their representative at least) did not approve.
Of course the most important step to go even one step further would be to have a balanced, active and progressive parliament.
I like your argument. I only have two question though. Like one of the contributors said, don't you think just picking from MP's limits the president choice? In fact to be more specific he/she picks only from the MP's of his/her own party. That means the president is not choosing from the best of the best rather he is choosing from the best of who is available.
the second question is. Do you think ministers of a certain ministries should be people with some expertise of a given ministry? Meaning that not just anybody is given any ministry to run.
Je una dhani wakati waanzilishi wa taifa letu walipo kaa na kutafakari katiba ya nchi walikaa waka tulia au ili kuwa kufanya mambo haraka haraka ili mradi tu nchi iwe na katiba?
MwanaFA,
Umegonga ikulu..... Kuna mtu mmoja aliwahi kusema, Tanzania ni moja ya nchi that are highly governed more than most of developed countries, but they lack good governance and administration.
we have created a very expensive administration system with multiple actors with nothing to do.. Wabunge wengi hawana sifa kwani hutoka kwenye siasa, na mawaziri hutoka kwenye wabunge, which means we peak leaders from already weak pool; na hao mawaziri pia hutegemea karata ya miaka mitano kuweza kurudi au la nk. hapo bado hujagusa wakuu wa wilaya, makatibu,
Inaonekana kuna tatizo katika mfumo wa commonwealth kwa nchi zetu... naona na ngoma imefika mpaka Uk kwenyewe wanahangaika nao
Mfano ni serikali za mikoa na wilaya, kila siku zina chipuka mpya bila idadi ya watu kuongezeka significantly. Mimi naona sasa siyo huo ubunge na uwaziri tu bali mfumo wetu wote una walakini mkubwa. A bad system encourages but leadership. Hakuna mfumo 100% lakini tunge kua na mfumo mzuri unge punguza matatizo mengi tunayo yaona sasa.
Mjomba huko ndio usifike, tuna serikali kuu ikiwakilishwa na local government.. kamati mbalimbali za jamii, nk.
Haya yote ni madhara ya copy and paste, uki-copy na kupaste from vairous sources bila kureview kazi mara nyingi unaishia kuwa na output inayorukaruka bila flow---and that's where we are now
We need to overhaul the system.. ila huko kwenye local government ndio balaa, kuna ma-DT, DED, DA, watendaji, kamati etc.etc. na wote serikali inawagharimia hadi fenicha --- tenda njenje ijekuwa wabengu na mawaziri!!