Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Wanabodi,

Kwanza nampongeza Mhe. Tundu Lisu Kwa kutokuwa muoga kuizungumzia dhana ya udikiteta Tanzania bila uoga, japo the way anavyoielezea anazungumza kwa style ya uropokaji hivyo kuonekana kama insane fulani, lakini ujumbe umefika.

Kwa vile Mhe. Tundu Lisu kwanza mwanasheria kisha ndio mwanasiasa, ametuasa tupaze sauti zetu kuupinga huu udikiteta kwa kupiga kelele. Naomba kutofautina na Mhe. Tundu Lisu katika hili la udikiteta, kuwa udikiteta haupingwi kwa Press Conference, kwa maandamano, kwa mikutano ya hadhara, kwa kupaza sauti na kupiga kelele.

Udikiteta unapingwa kwa njia moja tuu, Court Review kupitia Mamlaka ya Mahakama Kuu kutoa kitu kinachoitwa Prerogative orders ziko 6, ila maarufu zaidi ni 3. (
  • certiorari, an order by a higher court directing a lower court to send the record in a given case for review;
  • mandamus, an order issued by a higher court to compel or to direct a lower court or a government officer to perform mandatory duties correctly;
  • prohibition, directing a subordinate to stop doing something the law prohibits;
  • habeas corpus, demands that a prisoner be taken before the court to determine whether there is lawful authority to detain the person;
  • quo warranto, requiring a person to show by what authority they exercise a power.
  • procedendo, to send a case from an appellate court to a lower court with an order to proceed to judgment) mtanisamehe sizijui Kiswahili chake.
Hivyo Lisu kama mwanasheria mbobezi, Mwenyekiti wa TLS na Mwanasheria Mkuu wa Chadema alipaswa kwanza kutumia the legal local remedies available, kwanza kuuthibitisha huo udikiteta, zikishindikana ndipo sauti zipazwe ili kusaidiwa na jumuiya ya kimataifa.

No matter how good someone is, it's not necessarily he/she will always right, na kwa jinsi nilivyomsikia Lisu akimzungumzia rais Magufuli, kama Chadema ndio kinawategemea watu kama hawa kuuingiza ikulu, kiukweli Lisu atawaingiza chaka Chadema kama alivyowaingiza kwenye chaka la katiba.

Tundu Lisu is good in his own way ila sio mtu very dependable yanapokuja masuala nyeti yenye kuhitaji vichwa vilivyotulia. Aendelee kutumika kwenye amsha amsha lakini kwenye very serious issues zinazohitaji busara, Lisu anahitaji usaidizi wa wenye busara.

Chadema kuna tatizo kubwa la matumizi ya busara katika kauli za baadhi ya viongozi wake. Unaweza kukosoa kwa lugha ya kistaarabu na kwa unyenyekevu ukafikisha ujumbe vizuri zaidi kuliko kutumia lugha kali, machukizo, matukano na lugha isiyo ya staha.

Naomba kuwasilisha.

Paskali
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...

Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...

Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...

Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...

Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote | Page ...

Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ..

Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa

Mayalla kwetu inamaana ya NJAA
 
Kwa sasa mahakama kuu ya Tanzania sio Taasisi huru,majaji wanaingiliwa kwenye shughuli zao mpaka wanaamua kujiuzuru,

Na kama mahakama inaingiliwa kwenye kutenda haki,haki zetu tuzitafutie wapi?je kuna haja ya kupeleka kesi mahakamani katika hali hii au tuangalie namna nyingine? Kama unazizuia mahakama zisitupe haki,na sisi kama nchi tunataka haki na tumekubaliana kikatiba tutaipata mahakamani,na wewe umezizuia mahakama zisitoe haki,nchi nzima ikiamua kutafuta mbadala wa mahakama nchi hii itakalika?

Wabunge bungeni mnawafukuza na kuwatisha,mnataka taifa lisemee wapi? Bunge ni mahala pa mijadala ya taifa,wakianza kujadili mnawafukuza na kuwatisha

Serikali nayo ikisikia watu wanatumia Uhuru wao kujadili,wanatuma polisi kuwakamata

Kuna kihadithi fulani kinasema kwamba hata umuwekeee vifaranga mia,ukimuachia tu,mwewe atapaa na kuondoka,Uhuru ni kitu cha asili cha binadamu,

Mkoloni na mabomu yote na mabunduki,hakufanikiwa kumnyamazisha Nyerere,kenyata,Mandela,Mugabe,

Leo karne ya 21 unawaza kuzuia watu wasiongee?

Wapinzani waliongea tena kwa ruksa na kukingiwa kifua na Nyerere baada ya tume ya Nyalali,

Leo wewe ni nani wa kumshinda Nyerere busara? Wewe unaweza kumshinda baba wa taifa kwa maono? Ccm walikataa vyama vingi,Nyerere akawaambia acheni ujinga,na wakati Mkapa anaomba urais,nyerere hakuzuia wapinzani wasipige kampeni,alisema muacheni Lyatonga mashabiki wake wamsukume gari lake,mrema yuko mwanza kwenye kampeni ,nyerere yuko mbeya,hakuamuru lyatonga akamatwe

Mtoto wa Nyerere alikuwa NCCR,Nyerere wala hakuumia kichwa... Leo hii unataka kufukia jalalani busara za Nyerere? Kwa ugwiji upi wa kisiasa ulio nao?

Mwinyi alitaka kuleta Tanganyika,Nyerere akamwambia ilani tuliyokupa haina hiyo hoja,umeitolea wapi? Leo ilani INA hoja ya mimba za wasichana,unaikataa,kwa hiyo kwenye kampeni mlikuwa mnawadanganya watu? Ccm itwambie kwamba ilani yao iko kichwani kwako au wana kitabu maalum cha ilani kinachoongoza mambo mbalimbali ikiwemo Uhuru wa mahakama
Umenena sahihi

kimeo
 
Kamshauri kama anayo ya kusapoti anayodaibaende mahakamani..

Ambacho hamshangazi ni yale yale tuneyazoea kuogopa ushauri wa kweli na kisheria mnamsakama eeeeh

Mnarudi kwenye yale yale ya kufata nikumbo bila hata kufikiria kwanza, kisa Mh. JPM kaongelewa

Namba mtazufi kuisoma hadi mjue kuwa upinzania wenye grade ya juu... kwa sasa hamna kitu endeleeni na porojo zenu huku mkisaga meno.

Wapenda kwenda mahakamani eti wanaogopa mahakani... dunia ina mambo kweli kweli.. eeeeh... hakuna udikteta mnaoutaka uwepo ni uongozi wa kiaina yake eeeeh..
Tulia uandike vizuri.
 
Kilichomuuma Mayala ni Lissu kuongea " mengi",

Naamini hoja za Lissu za Demokrasia siyo haswa zilizomprompt Mayala kuandika hii "One-dimensional rubbish"!, bali ni ile meseji"nyingine" haswa ndo imemkera Mayala!.
 
Pole Paskali more often than not unawaya waya tu, kama mtu usiyejua unachokitaka ama unachokisimamia, poor you! You are no credible analyst, rather simply a world class opportunist kama mtu fulani kafiwa na mwenza hapa Uhengani! Bs
Well said mkuu MTK, Paskali sijui anaizungumzia Tanzania ipi kwa suala nyeti kama hili? Ni hii ambayo ina Kaimu Jaji? Lugha anayoitumia Lissu inafaa kutumiwa kumkabili "uchwara". Anachofanya Lissu ni kuendana na lugha inayotumiwa na "uchwara". Kwa Paskali lugha ya "uchwara" ni sahihi lakini ya Lissu ni ya hovyo hovyo! Paskali, we are tired, tuache bwana!
 
Kamshauri kama anayo ya kusapoti anayodaibaende mahakamani..

Ambacho hamshangazi ni yale yale tuneyazoea kuogopa ushauri wa kweli na kisheria mnamsakama eeeeh

Mnarudi kwenye yale yale ya kufata nikumbo bila hata kufikiria kwanza, kisa Mh. JPM kaongelewa

Namba mtazufi kuisoma hadi mjue kuwa upinzania wenye grade ya juu... kwa sasa hamna kitu endeleeni na porojo zenu huku mkisaga meno.

Wapenda kwenda mahakamani eti wanaogopa mahakani... dunia ina mambo kweli kweli.. eeeeh... hakuna udikteta mnaoutaka uwepo ni uongozi wa kiaina yake eeeeh..
Aliyemwelewa huyu anieleweshe!
 
Kwa sasa mahakama kuu ya Tanzania sio Taasisi huru,majaji wanaingiliwa kwenye shughuli zao mpaka wanaamua kujiuzuru,

Na kama mahakama inaingiliwa kwenye kutenda haki,haki zetu tuzitafutie wapi?je kuna haja ya kupeleka kesi mahakamani katika hali hii au tuangalie namna nyingine? Kama unazizuia mahakama zisitupe haki,na sisi kama nchi tunataka haki na tumekubaliana kikatiba tutaipata mahakamani,na wewe umezizuia mahakama zisitoe haki,nchi nzima ikiamua kutafuta mbadala wa mahakama nchi hii itakalika?

Wabunge bungeni mnawafukuza na kuwatisha,mnataka taifa lisemee wapi? Bunge ni mahala pa mijadala ya taifa,wakianza kujadili mnawafukuza na kuwatisha

Serikali nayo ikisikia watu wanatumia Uhuru wao kujadili,wanatuma polisi kuwakamata

Kuna kihadithi fulani kinasema kwamba hata umuwekeee vifaranga mia,ukimuachia tu,mwewe atapaa na kuondoka,Uhuru ni kitu cha asili cha binadamu,

Mkoloni na mabomu yote na mabunduki,hakufanikiwa kumnyamazisha Nyerere,kenyata,Mandela,Mugabe,

Leo karne ya 21 unawaza kuzuia watu wasiongee?

Wapinzani waliongea tena kwa ruksa na kukingiwa kifua na Nyerere baada ya tume ya Nyalali,

Leo wewe ni nani wa kumshinda Nyerere busara? Wewe unaweza kumshinda baba wa taifa kwa maono? Ccm walikataa vyama vingi,Nyerere akawaambia acheni ujinga,na wakati Mkapa anaomba urais,nyerere hakuzuia wapinzani wasipige kampeni,alisema muacheni Lyatonga mashabiki wake wamsukume gari lake,mrema yuko mwanza kwenye kampeni ,nyerere yuko mbeya,hakuamuru lyatonga akamatwe

Mtoto wa Nyerere alikuwa NCCR,Nyerere wala hakuumia kichwa... Leo hii unataka kufukia jalalani busara za Nyerere? Kwa ugwiji upi wa kisiasa ulio nao?

Mwinyi alitaka kuleta Tanganyika,Nyerere akamwambia ilani tuliyokupa haina hiyo hoja,umeitolea wapi? Leo ilani INA hoja ya mimba za wasichana,unaikataa,kwa hiyo kwenye kampeni mlikuwa mnawadanganya watu? Ccm itwambie kwamba ilani yao iko kichwani kwako au wana kitabu maalum cha ilani kinachoongoza mambo mbalimbali ikiwemo Uhuru wa mahakama
Ndugu... hebu tupe mifano kidogo yenye ushahidi wa haki zilizominywa Mahakamani kwasababu ya maelekezo ya Kisiasa. Lakini pia majaji waliojizulu kutokana na kuingiliwa kwa Mahakama. Otherwise this is Speculations tu.

Unaongelewa wabunge wa upinzani kunyamazishwa bungeni na kutolewa nje. Hivi kwnn watu mnapenda kuwa waongo kiasi hichi? Wabunge wengi wa upinzani waliokwishatolewa nje ( Myika, Mdee na Bulaya) ni kwasbb tu ya utovu wa nidhamu na kuvunja kanuni za Bunge kwa makusudi kwsbb wanajua kuna nyumbu nje watawatetea.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Chadema kuna tatizo kubwa la matumizi ya busara katika kauli za baadhi ya viongozi wake. Unaweza kukosoa kwa lugha ya kistaarabu na kwa unyenyekevu ukafikisha ujumbe vizuri zaidi kuliko kutumia lugha kali, machukizo, matukano na lugha isiyo ya staha.

Nafikiria utakuwa unatania au huelewi maana ya busara na uropokaji, ili uwe na busara ni lazima uwe na intelligence + rational za kutosha, sasa imagine km Lissu hana busara hali ikoje kwa watz ukianza na uchwara kuja kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuongelea lugha ya ustaarabu na ukamwacha JPM???
 
Back
Top Bottom