Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
nimesoma vizuri moja ya makala za Tanzania Daima toleo la Jumapili ya leo. Makala hayo yanahusu propaganda mpya ambayo ccm wanaweza kuja nayo katika uchaguzi mkuu ujao ... propaganda ya ujinsia. Nafikiri wengi tuna taarifa zinazomuhusisha mwalimu Dr. MIGIRO, Asha Rose na urais wa Chama Cha Mabwepande mwaka 2015.
mwandishi wa makala yale amejikita katika kujenga hoja zake kwamba si dhambi mwana mama kuwa Rais wa taifa hili, lakini kwa kuwa wenzetu wapo kwenye siku zao za mwisho za kuongoza Taifa hili, watajaribu kupenyeza hoja za ujinsia, na kwa kufanya hivyo, wataukandia kwa nguvu zote mfumo-dume (na hii itapelekea chama changu kilichonilea, Chadema, kuzidiwa nguvu kwani ccm kwa sarakasi hawakamatiki). Ili kula nao sahani moja, naungana na hoja ya muandishi wa makala yale kwamba, kuna haja ya kusimamisha mwana-mama katika uchaguzi ujao ili tule nao sahani moja hawa magamba.
ujio wa mama Ellen Johnson, Rais wa Liberia ni dalili ya mvua. So Chadema, let's go neck in neck with magamba.
Vyuma mbona tunavyo jamani!? mikakati tu!
Kwa mtizamo wangu, kama hoja hii itapita (ni juu ya chama kuamua), Ms. Halima James Mdee ndiyo GHARIKA ya wanawake wote wanaojiita UWT na waume zao.