Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
52,348
Reaction score
118,679
Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani.

Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika

Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza kuamua namna anavyotaka maisha yake yawe bila upande wowote kujali/kuingilia.
●Sio dunia ya kulipana pesa/mali kwa ajili ya kumuoa na kuishi nae tena.
●Sio dunia ya kuamuliwa nani utamuoa au utaolewa nae.
● Sio dunia ya kuambiwa ukajenge nje ya boma la wazazi tena, SIO.
● Ni dunia ya kukutana wawili na kuamua hatma ya maisha yenu bila kuingiliwa na mtu yoyote.

Dunia ya namna hii inatakiwa impunguzie mwanaume mzigo, hasa kwenye mambo ya lobola, mahari, dowry.
●Uhuru uliopitiliza kwa mwanamke umekuja na athari hasi, anaweza kuwa na msururu wa wanaume na hakuna anayehoji.
●Anaweza kuamua nani wa kumuoa na hakuna mtu wa kupinga.
●Kwa nini ulipe gharama kubwa kwa kitu ambacho kiimani wewe sio mmliki? Mtu alishamalizana na wanaume kumi+, mmekutana tu for the sake of establishing a society, kwa nini uwe obliged kutoa mapesa ili tu uishi nae?

Wanawake wa sasa wengi ni viwembe, haya mambo tuliyazoea miaka hiyo kwa vijana wa kiume, ila kwa sasa mdada anaweza kuwa na wanaume hata watano kwa wakati mmoja na wala hajali. Mtu wa namna hiyo akikutana na mwanaume kwa ajili ya kutulia(settling) kuna haja gani ya kulipa dowry kama sio kumdhulumu huyo kijana.

Jamii inatakiwa kufikiri mara mbili, tumeamua kuiga tamaduni za wazungu huko, basi na hii iingizwe taratibu kwenye jamii zetu.

Tuachane na hizi mambo.
Happy day y'all!!
 
Babu unazingua! Kwani mahali inahusika vipi na mtu kuwa na msururu🫢
Ina uhusiano wa moja kwa moja mjukuu, kulipia kitu hukustahili kulipia sio sawa.

Hata Yakobo alilipa mahari miaka 14 Ali ampate Raheli na Leah, wale walikuwa pwiru kabisa. Naamini angeambiwa wameshawekwa asingefanya hivyo.
 
Mzee mwenzangu una hoja, usikilizwe

giphy.gif
 
Taifa linazalisha vijana wa hovyo wasiopenda kujishughulisha na chochote kutwa kubeti,pombe,dubu na wanawake,matokeo yake hawa kutoa mahari suala la kiutamaduni kabisa wanaona ni mzigo. Vijana tutafute hela ukishapata hela kutoa mahari utaona ni baraka na si mzigo.
 
Kwamba kuna mtu hatafuti pesa na wewe upo kumlisha mkuu? Swala la kutafuta pesa ni mtambuka, kila mtu kwa namna yake anatafuta pesa mzee.

Elewa hoja, naongelea maadili zaidi ya materials!! Vijana wajitunze ili mahari yalipwe, huwezi kumlazimisha kijana kulipa mahari kwa binti aliyeharibiwa na wanaume double digits, sijui hata kama unaelewa!!
 
Ina uhusiano wa moja kwa moja mjukuu, kulipia kitu hukustahili kulipia sio sawa.

Hata Yakobo alilipa mahari miaka 14 Ali ampate Raheli na Leah, wale walikuwa pwiru kabisa. Naamini angeambiwa wameshawekwa asingefanya hivyo.
Zama hizo sasa babu, huwezi kulinganishi na sasa! Hizo enzi, ukiliwa tu kijiji chote kinapashwa habari zako, sio kwa huu ulimwengu wa kuanika kila kitu mitandaoni!

Acha vijana wenu watoe mahari, msiwazuie tafadhali.. mahari inaheshimisha mwanamke katika jamii zetu!
 
Babu unazingua! Kwani mahali inahusika vipi na mtu kuwa na msururu🫢
Ile walikuwa wanatoa kumchukua binti kutoka kwenye himaya ya baba yake, ambapo anakuwa ameishi maisha yake yote akiwa amejitunza!

Sasa hivi unakuta binti anaishi magetoni kibachela, anavusha na kuvushwa, hana ushamba wowote dunia yote kashaiona.

Kwahiyo mahari inakosa umuhimu.
 
Zama hizo sasa babu, huwezi kulinganishi na sasa! Hizo enzi, ukiliwa tu kijiji chote kinapashwa habari zako, sio kwa huu ulimwengu wa kuanika kila kitu mitandaoni!

Acha vijana wenu watoe mahari, msiwazuie tafadhali.. mahari inaheshimisha mwanamke katika jamii zetu!
Mahari inaheshimisha sio tu mwanamke, bali familia. Ila kulipa mahari kwa mwanamke ambaye hakujiheshimu ni kujikosea na matumizi mabaya ya mali na fedha.
 
Ile walikuwa wanatoa kumchukua binti kutoka kwenye himaya ya baba yake, ambapo abia unanozanakuwa ameishi maisha yake yote akiwa amejitunza!

Sasa hivi unakuta binti anaishi magetoni kibachela, anvusha na kuvushwa, hana ushamba wowote dunia yote kashaiona.

Kwahiyo mahari inakosa umuhimu.
Kwahiyo issue ni kuwa mshamba flani hivi amazing😁 kujitunza binti ni maamuzi tu kuna wale wanazeekea makwao na wanaruka ukuta vizuri tu! Yani hivi vitu ni ankwepekabo! We chunguza mwenye tabia unazozimudu basi.. tofauti na hapo nenda vijijini kajibebee wa kwako or else u may die single 😃
 
Ndo maana yake sasa... Ule umuhimu wa mahari umepotea kwasababu ya uhuru uliopo.
 
Mahari inaheshimisha sio tu mwanamke, bali familia. Ila kulipa mahari kwa mwanamke ambaye hakujiheshimu ni kujikosea na matumizi mabaya ya mali na fedha.
Okay, let’s say mahari ianze kutolewa kwa wanawake wanaojiheshimu tu sijui wamelewa na wazazi wao hawajatumika and whatever.. utadhibiti vipi hawa wasiojitunza kutolewa mahari? Hujui kuna fake women too? Na mwanamke akiamua kufake unaelewa what next?

And hii yote ni kwasababu hutaki kutoa hiyo pesa? Mahari itamlimit mkeo awe na boundaries unavyotaka kumuokota bure bure tu jnategemea heshima iwepo? Na bipi kuhusu wanawake wanaowapa wanaume wao hiyo pesa ya mahari wakatoe?
 
Back
Top Bottom