Hoja nzito kuhusu tsunami

MKANYA

haya hapa mbona mbona hakuzuia haya maji eeeeh sindio mkisali huwa mnaelekea hapo ambapo ni mahali patakatifu kwenu?

PICHA ULIYO TOA NI MAJI YALIJAA NA MVUA LAKINI HAYAKUHARIBU CHOCHOTE NI TAFAUTI KABISA TSUNAMI!!!!!

MKANYA HATA KWENYE TSUNAMI MAJI YALIJAA MISIKITINI LAKINI SWALI KWANI MAGOROFA, MAHOTELI, NA MAJENGO MENGINE YOTE YAMETEKETEA LAKINI MISIKITI ILIBAKIIIII?

Mkuu Osama , tumia kidogo rasilmali uliyopewa na Mwenyezi Mungu,bongo ya kufikiri.
Majengo ya ibada duniani pote ni public bulidings ambazo hujengwa kwa ukamilifu wa taratibu zote za ujenzi.Tofauti na nyumba ndogondogo has kule Indonesia zilizojengwa na fito na makaratasi.
Nyumba hizo za fito ndio zilizozolewa na umeziona mwenyewe kwenyehiyo clip.Sasa cha ajabu nini hapo zaidi ya uwezo wa kufikiri
 
mods,
haya malumbano ya kidini yangestahili kupewa nafasi yake nje ya hapa.Unajua kuna wenye kustahimili hii mipasho, na kuna wasio na kifua.

Binafsi hii thread imenivutia kuisoma kwa vile nimedhani itazungumzia zaidi Tsunami kama a calamity iliyowakumba siyo wa indonesia tu bali wasomali na hata watanzania walioko mwambao mwa bahari ya Hindi.But Loh and behold..nilichokikuta ni kingine kabisa - mpambano wa nani zaidi na sijui mwamuzi ni nani!
wengine tunataka tubakie na uhusiano mwema na wana JF wote ikiwezekana - ila wakati mwingine unapoona mtu anakashifu dini yako basi naturally unaanza kuwa na mtizamo hasi dhidi yake somehow.
asante.
 
You can keep this BS za Mwamedi to yourself..lete hoja za maana nini kinachokupelekea kuamini kuwa kunusurika kwa misikiti au msikiti ni muujiza..usilete sarakasi za hii mipasho ya mwamedi ambayo hata kuithibitisha huwezi.

Kwa mfano nikiangalia hii video uliyoleta, haionekani kuwa hii tsunami ingeufikia huo msikiti na nguvu kubwa maana ile nguvu ya shock wave inakuwa na damping with dispacement na ule msikiti unaonekana uko mbali na maji ya bahari..sasa lete maelezo ya kuridhisha, ya kisayansi to be exact, ili tusikupuuze. Kuendelea kurukaruka kama mwewe kutatafsiriwa kama ukichaa.
uNATEGEMEA VIDEO MOJA? je ina maana majengo yaliozunguka msikiti yalipeperuka na upepo maji hayakufika? cheki hii "Kwanini iliondoa maoteli na majengo mengine ya biashara pamoja na makazi ya watu yakaacha misikiti?
Kama ni engineering majengo yalioondoka yalijengwa kwa shalo engineering? maajabu c kubaki kwa msikiti pekee bali hata vijumba vidhaifu ili mpate kufikiri. kama ingebaki msikiti pekee ungesema misikiti ndani kuna uwazi maji yanapta tu. msikiti ungezungukwa na nyumba ungesema nyumba hizo ndo zmezuia msikiti usibomoke. yange baki magorofa na msikiti ungesema technology ya magorofa na msikiti iko juu. haya vimeachwa vijumba utasema kawaida kwa kutumia sheria gani? za newton? mohr stress cycle? static au dynamic mechanics? reinforcement ktk wave wave? limeondoka scania na tela lake imebaki pikipiki unasema kawaida!
Mwenyezi Mungu (subhanaw wataal) akiamua kutuangamiza, huangamiza bila ya kujali nani anahusikia au ahusiki lakini ni juu yake nani aokoke. Hata ukiwa wewe na engineering yako litakufika lililopangwa na Mwenyezi Mungu alietukuka na sio ulilofundishwa darasani. kadese huku Sunami

"
 
Sielewi unaongea nini na zaidi naona dhahiri utanipotezea muda, hivo wewe endelea kuamini mwamedi ascended to heaven through windpipe, allah alionelea vema kufurisha Kaaba na kuiacha misikiti dhidi ya tsunami nk nk, haina shobo na hainizuii mimi kuendelea na maisha yangu mataamu/
 
Back
Top Bottom