Hoja nzito kuhusu tsunami | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja nzito kuhusu tsunami

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OsamaBinLaden, May 17, 2009.

 1. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HOJA NZITO KUHUSU TSUNAMI
  HILI TUKIO LILOTOKEA INDONESIA NA KUUA WATU WENGI MAFURIKO YALIWEZA KUKOMBA KILA KITU KILICHOKUWA MBELE YAKE NA KUSABABISHA UHARIBIFU MKUBWA KATIKA MAKAZI YA WATU WA MIJI KADHA WA KADHA LAKINI TUKIO HILI LILETA MASWALI MENGI KWA WATU WA MIJI HIYO BAADA KUSHANGAZWA NA UHARIBIFU WA MAJI HAYO YA TSUNAMI KWANI PAMOJA NA UHARIBIFU HUO ULIOWEZA KUCHUKUA KILA KITU BALI ULIACHA NYUMBA ZA IBADA .

  JE SWALI HILI NI TUKIO LA KISAYANSI, AU NI KITU GANI KILISABABISHA MSHANGAO HUO. VIDEO CHINI INATHIBITISHA HILI.

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=4yxXl5xNdjU]YouTube - Tsunami Miracle[/ame]
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Jina la Mungu ni kubwa.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mnajua ndg zangu 'wanyenyekevu' your gullibility can't cease to amaze me..sasa hapo muujiza uko wapi?

  Yaani misikiti imejengwa kwa columns nene kama zile zimestahamili tsunami unasema muujiza.. sasa zingestamili tsunami pamoja kujengwa kwa fito mngesema nini?
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  .
  Unamaanisha makanisa yalijengwa kwa fito ndio maana ya kaanguka?? tutaendelea kuwaonjesha dalili zetu mpaka iwabainikie hii ni HAKI ITOKAYO KWA MUNGU WA KWELI
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  mi simo....
   
 6. Mkanya

  Mkanya JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  What about this?
  Hapa inakuwaje mpaka mafuriko yanaingia............... humo ndani hapa mnatuambia nini sasa.
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  haya hapa mbona mbona hakuzuia haya maji eeeeh sindio mkisali huwa mnaelekea hapo ambapo ni mahali patakatifu kwenu?
   
  Last edited: May 18, 2009
 7. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MKANYA

  haya hapa mbona mbona hakuzuia haya maji eeeeh sindio mkisali huwa mnaelekea hapo ambapo ni mahali patakatifu kwenu?

  PICHA ULIYO TOA NI MAJI YALIJAA NA MVUA LAKINI HAYAKUHARIBU CHOCHOTE NI TAFAUTI KABISA TSUNAMI!!!!!


  MKANYA HATA KWENYE TSUNAMI MAJI YALIJAA MISIKITINI LAKINI SWALI KWANI MAGOROFA, MAHOTELI, NA MAJENGO MENGINE YOTE YAMETEKETEA LAKINI MISIKITI ILIBAKIIIII?
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  lol..Mkanya umeniacha hoi..hawa jamaa kwa kujijaza ujinga utawaweza? Bora umewapa hiyo mifuriko ya nyumba ya mungu mwezi Kaaba.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Habari za makanisa zinaingiaje hapa? habari za mungu wako baki nazo, maana zinawafaa watu kama wewe msotaka kutumia akili zenu.
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hii inaonesha kuna mahitaji makubwa sana ya Jukwaa la DINI
  Mkuu invisible pliiiiza bana lete mkeka wa swalaa hapa watu waandike maakuli
   
 11. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  QURAN SURA 13.
  17. Ameteremsha maji kutoka mbinguni. Na mabonde yakamiminika maji kwa kadiri yake. Na mafuriko yakachukua mapovu yaliyo kusanyika juu yake. Na kutokana na wanavyo yayusha katika moto kwa kutaka mapambo au vyombo hutokea povu vile vile. Namna hivyo Mwenyezi Mungu ndivyo anavyo piga mifano ya Haki na baat'ili. Basi lile povu linapita kama takataka tu basi. Ama kinacho wafaa watu hubakia kwenye ardhi. Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu anavyo piga mifano. ***
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  I dont get you
   
 13. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  QURAN SURA 17 (88-96)

  88. Sema: Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao. ***

  89. Na hakika tumewaeleza watu katika hii Qur'ani kwa kila mfano. Lakini watu wengi wanakataa isipo kuwa kukanusha tu. ***

  90. Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii. ***

  91. Au uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika. ***

  92. Au utuangushie mbingu vipande vipande kama ulivyo dai; au utuletee Mwenyezi Mungu na Malaika uso kwa uso. ***

  93. Au uwe na nyumba ya dhahabu, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. Sema: Subhana Rabbi, Ametakasika Mola wangu Mlezi! Kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na Mtume? ***


  94. Na nini kilicho wazuilia watu kuamini ulipo wajia uwongofu isipo kuwa walisema: Je! Mwenyezi Mungu humtuma mwanaadamu kuwa ni Mtume? ***

  95. Sema: Ingeli kuwa duniani wapo Malaika wanatembea kwa utulivu wao, basi bila ya shaka tungeli wateremshia Malaika kuwa ni Mtume wao. ***

  96. Sema: Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Shahidi baina yangu na nyinyi. Hakika Yeye anawajua vyema waja wake na anawaona. ***

  HAWA NI WATU WAOVU AMBAO HUKUMU YA KUPOTEA IMEWAPITIA TAYARI KWA HIYO KWA MAJIBU HAYA YANAONYESHA KUJIKWEZA KWAO BALI WAO SI CHOCHOTE KWA MWENYEZI MUNGU.

  TUANGALIE MUNGU ANASEMAJE TENA KUHUSU MIUJIZA:-

  59. Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha. ***

  67. Na inapo kufikieni taabu katika bahari, hao mnao waomba wanapotea, isipo kuwa Yeye tu. Na anapo kuvueni mkafika nchi kavu, mnageuka. Ama mwanaadamu ni mwingi wa kukanusha. ***

  43. Subhanahu Wa Taa'la, Ametakasika na Ametukuka juu kabisa na hayo wanayo yasema. ***

  44. Zinamtakasa zote mbingu saba na ardhi na vyote viliomo ndani yake. Na hapana kitu ila kinamtakasa kwa sifa zake. Lakini nyinyi hamfahamu kutakasa kwake. Hakika Yeye ni Mpole na Mwenye magh****. ***
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  olololllo..kwa hiyo mbinguni (kwa mungu alieandika Koran) ndio maji ya mvua yanahifadhiwa..?! I bet huyu mungu kweli hana maarifat..halafu hayo mapovu ndo nini? halafu nani kasema mvua inanyesha mabondeni kwa kadiri yake..sasa mafuriko yanatokeaje kama kila mvua inaenda kwa kipimo 'mabondeni'? kwa hiyo ina maana hata Qaaba ni bondeni? lol..watu wanaoishi pangoni can't cease to amaze me..
   
 15. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Indonesia kuana Makanisa mangapi????? 99% musilm, yangebaki yatoke wapi wakati hayakuwepo!!!
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  You can keep this BS za Mwamedi to yourself..lete hoja za maana nini kinachokupelekea kuamini kuwa kunusurika kwa misikiti au msikiti ni muujiza..usilete sarakasi za hii mipasho ya mwamedi ambayo hata kuithibitisha huwezi.

  Kwa mfano nikiangalia hii video uliyoleta, haionekani kuwa hii tsunami ingeufikia huo msikiti na nguvu kubwa maana ile nguvu ya shock wave inakuwa na damping with dispacement na ule msikiti unaonekana uko mbali na maji ya bahari..sasa lete maelezo ya kuridhisha, ya kisayansi to be exact, ili tusikupuuze. Kuendelea kurukaruka kama mwewe kutatafsiriwa kama ukichaa.

  haya naandaa mbavu zangu kabisa..
   
 17. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu mtindio wa mgongo

  angalia tena hiyo video kwani sio msikiti mmoja bali ni misikiti mingi na huo ulikuwa ni mji ndugu yangu kwa hio nakusiihi ufatilie kwa makini na sio kwa video hiyo tuu bali vyombo vingi vya habari vya kilimwengu vilidiscuss hilo tukio kwa kina tuu sijui ulikuwepo wapi kwani jambo hiloo si geni kwa watu wengi .
   
 18. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Maendeleo safi sana mnatupa na ushahidi wa images, bigup Mk.
  Lakini Sunami ilitokea bahari huku ikiambaa ufukweni.
  Mahotel yamejengwa baharini kabisa tena wafanya kuisogeza bahari.
  Je! Huo msikiti ulijegwa ufukweni?
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ok ndg Osama wa Vingunguti a.k.a mahakama ya mbuzi.

  Nasikitika kuwa umeshindwa kuleta majibu mujarabu kwa nini waamini kuwa hayo matukio ni miujiza. Najua unaamini kuwa na miujiza si kwa sababu yeyote ile ila kwa sababu unapenda iwe miujiza..this is not enough by any logical means na nakusikitikia kwa hilo. Siwezi kukusaidia kuelewa, nachoweza kufanya ni kuchochea ili uelewe, zaidi ya hapo sina msaada.
   
 20. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimeuliza Msikiti ulijengwa kwenye fukwe?
  Naomba majibu kwanini watu wanakimbia maswali wakati wao ndo waaanzilishi jamani mtakimbia maswali mpaka lini?
   
Loading...