Hoja kuhusu uhalali (legibility) wa kuwa mbunge

Hoja kuhusu uhalali (legibility) wa kuwa mbunge

Inawezekana mtu kamaliza la saba ila hajui kusoma na kuandika ,ndio maana hicho kipengele kikawekwa . Hivyo darasa la saba kama una kigezo ubunge poa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ubunge ni kazi ya kisiasa kama ilivyo urahisi hauitaji usomi wetu wa viuo vikuu. Siasa ktk jamii si taaluma ni jinsi ya kutumikia jamii. Ndo maana hakuna taaluma ya urahisi duniani bali ni ushawishi wa hisia ktk jamii inayokuongoza. Trump wa marekani hajawai kuwa hata karani serikalini leo ni mwamba na mtemi wa dunia kwa ushawishi wa kisiasa. Jiulize wabunge Maprofesa bungeni wametusaidia nin. Ulitakiwa ktk post yako utuwekee comparison kati ya majimbo ya wabunge wasomi dhidi ya majimbo ya wasio wasomi ilii tulinganishe. Tathimini ya haraka majimbo ya elimu ya kawaida wanafanya vzr zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angle yangu kwa leo ni kwenye maswala wanayosimamia kule bungeni, hayo masuala ya maendeleo ni swala la watu wengi ndio maana kila mtu hujisifu, Kuanzia Diwani Hadi mkurugenzi hadi Rais atajisifu kwa maendeleo husika.

Na kwa kuwa hela inatoka serikali kuu,sioni haja ya mbunge kusisitiza swala ambalo linakuwa tayari lipo kwenye mipango ya mji kupitia halmashauri zake

Kazi ya mbunge hapo naiona ni kwenye kusema ndiyooooooo au Sioooooo kule Chimwaga kufanya miswada kuwa sheria
 
Ibadilishwe wawe na degree ili tupunguze na watoa mipasho kule mjengoni, na hawa wabunge wa viti maalum wafyekelewe mbali maana wengine ni vimada tu wanajaza nafasi na kuwapotezea muda wabunge wa majimbo kuchangia hoja za wananchi
ccm wengi watakosa sifa,rejea tafiti zaTwaweza ccm inakubalika kwa watu gani
 
Back
Top Bottom