gambalakobe
Member
- Jul 1, 2015
- 55
- 74
Msitu huu Unapatikana Katika Mji wa Cluj-Napoca Kaskazini Magharibi mwa Romania, Una Ukubwa wa Ekari 729 na Ndio Msitu Nambari Moja Hatari Duniani Watu Kupotelea Humo.
Inaelezwa Miaka ya Nyuma ilikuwa Hakuna Mtu yeyote Aliyewahi ingia katika Msitu huu Akatoka.. Kuna Viumbe wa Ajabu Wasio na Vichwa, Usiku Kuna Sauti za Kama Watu Wanapasua Mbao na Mambo Mengine ya Ajabu!! .
.
Inaelezwa Miaka ya Karibuni Kundi la Watafiti Waliingia Msituni Kufanya Utafiti lakini Wengi Walipotelea Huko kwa Kuvutwa na Nguvu ya Ajabu Akiwemo Mpiga Picha Wao, Mpaka leo Hawajaonekana na Aliepona ni Mmoja tuu, Wanasema Ndani ya Msitu kuna Viumbe wa Ajabu Wanaishi na Inaelezwa Kulikutwa Eneo Kubwa la Wazi Ambalo Viumbe hao Hafanyia Kafara.
Inaelezwa Kuwa Ndani ya Msitu huo Kuna Joto la Juu sana na Karibia Miti Yoote Katika Msitu huu Inakua kwa Zigzaga.
Watu wengi Wanaopita Katika Barabara Iliyopo Karibu na Msitu Huu Wamekua Wakilalamika Mara nyingi kuwa Unapopita Hapa Unaanza Kujisikia Woga, Nywele Kusimama Pamoja na Kichefuchefu! Na Watu Wengi sana Wameripotiwa Kupotelea Humo Tangu Miaka ya 1960 Hadi Sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app