Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 548
- 649
ok.sawa gentleman 🐒Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri. Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani?
Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
Haki inapaswa kutendwa kwa kuthamini utu wa watu siyo kuogopa mwisho!!!Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri. Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani?
Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
Tangu Uhuru wakati huo nchi inaanza watu (mRais) waliepuka visasi, Mahakama na hata polisi waliachwa wafanye kazi zao,, lakini huyu kadanganywa. Kisasi hakiepukikiMambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri. Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani?
Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
Ili kuepuka hayo kutokea,hakuna sababu ya kuendelea na madudu yasiyokua na maana. Marekebisho na upendo ujengwe sasaTangu Uhuru wakati huo nchi inaanza watu (mRais) waliepuka visasi, Mahakama na hata polisi waliachwa wafanye kazi zao,, lakini huyu kadanganywa. Kisasi hakiepukiki
🙏🙏ok.sawa gentleman 🐒
Analijua, wanalijua ndio mana wanamshauri marekebisho ya katiba badala ya katiba mpya. Habari ya sasa hivi?Alisha ambiwa kwenye moja ya ibada za mazishi kuwa UKIUA KWA UPANGA KWA HUO UTAUWAWA NA WEWE..
kama hakuelewa leo nimemkumbusha
Visasi vitoke wapi? Mtu ambaye mke wake na watoto wake wote wawili sio raia wa nchi husika, wanarudije kuleta visasi?Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri.
Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani?
Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
Visasi havina mipaka.Visasi vitoke wapi? Mtu ambaye mke wake na watoto wake wote wawili sio raia wa nchi husika, wanarudije kuleta visasi?
Mtoto wa shule;Mimi sizungumzii unayemfikiria,ninazungumzia mtu/watu kufanyiwa ubaya Kuna hatari ya kuja kulipa kisasi siku za mbeleVisasi vitoke wapi? Mtu ambaye mke wake na watoto wake wote wawili sio raia wa nchi husika, wanarudije kuleta visasi?
Ndio uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.Visasi vitoke wapi? Mtu ambaye mke wake na watoto wake wote wawili sio raia wa nchi husika, wanarudije kuleta visasi?
Watu wa 'Nchimbili' na wenzao wakajiunga kwa Polepole itakuwa balaa.Visasi vitoke wapi? Mtu ambaye mke wake na watoto wake wote wawili sio raia wa nchi husika, wanarudije kuleta visasi?
Good! Na visasi ndio maisha ya ulimwwnguni na mbinguni!Visasi havina mipaka.
Visasi ni maisha ya kila siku ya duniani na mbinguni! Bila visasi hakuna maisha.Mtoto wa shule;Mimi sizungumzii unayemfikiria,ninazungumzia mtu/watu kufanyiwa ubaya Kuna hatari ya kuja kulipa kisasi siku za mbele
Bila shaka mkeo anajivunia kuwa na "mume akili kubwa" kama wewe sio? Ahahahahaha!!Ndio uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.
Hapo mume wako kala hasara kudadeki.
Nchimbi alikuwa na watu alipokuwa CCM.Watu wa 'Nchimbili' na wenzao wakajiunga kwa Polepole itakuwa balaa.
Ukijumlisha na wale waTundu.