Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Watanzania ni waoga sana. Tunachokifanya sasa tutatutia miaka miwili ijayo tukisema ni ccm ni ccm kumbe sisi wenyewe ni tatizo.Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!
Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!
Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu!
MWENZENU NINAYO HOFU KUU HUENDA MSTAAFU AJAYE AKAISHIA LUPANGO!
Dalili si rafiki tena na mazingira yatamlazimisha ajaye kushindwa kuhimili kupuuza kwa sababu ya nyakati. Na ole yake itakuwa usoni pake endapo atalazimisha kupuuza!
Naanza kuhisi huenda unono na utamu wa kuwatumia mamburula kupitisha agenda zetu zinaelekea ukingoni kwa hisani japo kiduchu ya SEKONDARI ZA KATA.
Ama kweli zama huja na kuondoka!
Nakwambia Sam100, Jk wasubirie kufia jela.Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!
Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!
Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu!
MWENZENU NINAYO HOFU KUU HUENDA MSTAAFU AJAYE AKAISHIA LUPANGO!
Dalili si rafiki tena na mazingira yatamlazimisha ajaye kushindwa kuhimili kupuuza kwa sababu ya nyakati. Na ole yake itakuwa usoni pake endapo atalazimisha kupuuza!
Naanza kuhisi huenda unono na utamu wa kuwatumia mamburula kupitisha agenda zetu zinaelekea ukingoni kwa hisani japo kiduchu ya SEKONDARI ZA KATA.
Ama kweli zama huja na kuondoka!
Tabia wanazozifanya ccm kwa sasa zitazalisha Magufuli mwingine mjeuri kuliko Magufuli og.Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!
Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!
Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu!
MWENZENU NINAYO HOFU KUU HUENDA MSTAAFU AJAYE AKAISHIA LUPANGO!
Dalili si rafiki tena na mazingira yatamlazimisha ajaye kushindwa kuhimili kupuuza kwa sababu ya nyakati. Na ole yake itakuwa usoni pake endapo atalazimisha kupuuza!
Naanza kuhisi huenda unono na utamu wa kuwatumia mamburula kupitisha agenda zetu zinaelekea ukingoni kwa hisani japo kiduchu ya SEKONDARI ZA KATA.
Ama kweli zama huja na kuondoka!
Suala la kinga kwa viongozi liondolewe haraka sana .Nakwambia Sam100, Jk wasubirie kufia jela.
Ya Zambia yatahamia kwetu
Rais ajaye akiwa na hulka ama haiba ya kama Tundu Lisu, hatakwepa kuwa "benevolent dictator" kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa letu la Tanganyika.Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!
Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!
Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu!
MWENZENU NINAYO HOFU KUU HUENDA MSTAAFU AJAYE AKAISHIA LUPANGO!
Dalili si rafiki tena na mazingira yatamlazimisha ajaye kushindwa kuhimili kupuuza kwa sababu ya nyakati. Na ole yake itakuwa usoni pake endapo atalazimisha kupuuza!
Naanza kuhisi huenda unono na utamu wa kuwatumia mamburula kupitisha agenda zetu zinaelekea ukingoni kwa hisani japo kiduchu ya SEKONDARI ZA KATA.
Ama kweli zama huja na kuondoka!
Niwe mkweli bora 100 Magufuli kuliko tulikofikia.Tabia wanazozifanya ccm kwa sasa zitazalisha Magufuli mwingine mjeuri kuliko Magufuli og.
Kwasasa hawezi kuondoa na hili halizuii kuondolewa na watawala wajao.Suala la kinga kwa viongozi liondolewe haraka sana .
Madhara ni makubwa kupita kiasi.
Kauli ChonganishiMWENZENU NINAYO HOFU KUU HUENDA MSTAAFU AJAYE AKAISHIA LUPANGO!
Kauli Chonganishi